Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.
Mkuu samahani,
hapo kwenye redi ni nini.
Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.
Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.
Endeleeni kujidanganya.
walikwendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wakalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka basi, na hadithi yangu imeishia hapo.Hadhithi:
Hapo zamani za kale kulikuwa ccm!
Hivi Malaria Sugu yuko wapi?
uLE MWAKA WATU WALIKUWA HAWAJAJUA MAANA YA MABADILIKO LEO HII HUMDANGANYI HATA MTOTO WA CHEKECHEA ANAJUA KUNA VYAMA. SASA WEWE UNAYEWAZA MAMBO YA MWAKA 47 NAKUONEA HURUMA KWANI HUSONGE MBELE BALI UNARUDI NYUMA. KAMATA BOMBA TWENDE......Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.
Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.
Endeleeni kujidanganya.
muongezee hakukua na m4c alafu utandawazi ulikuwa mfinyu sasa hivi hata vibabu vinagoogle"Uhuru wa kusema". Hayo ni mawazo yako. Watz si wa kipindi cha huyo uliyempa jina la mangi. Na watz hawana akili mgando kama unavyowafikiria wewe kiasi kwamba wanashindwa kuelewa uozo uliopo kwenye serikali ya tz inayoongozwa na tapeli "ccm" daima tunahitaji mabadiliko dhidi ya serikali tapeli "ccm"