Picha: Mkutano wa CHADEMA Mji Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Mkutano wa CHADEMA Mji Mwema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Sep 15, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Aliekuwa mgombea udiwani kupitia TLP Ndg Malisa, mabalozi 5 wa nyumba kumi kumi pamoja na wanachama wengine wa CCM walijivua gamba na kuvaa Gwanda..
  SAM_2816.JPG SAM_2821.JPG

  SAM_2829.JPG

  SAM_2814.JPG
  Kabla ya mkutano kumalizika wananchi wa Mji mwema walipewa nafasi ya kuelekeza kero zao na kumuuliza maswali Mbunge Joshua Nasari...
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Pamoja kamanda mpaka kieleweke!
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee babaangu watu nyomi hapa 2 dr hayupo je akiwepo magamba mtajibeba
   
 4. r

  raymg JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tuendelee kushabikia tu...tukiesabu kura only 50 ndo wanapiga
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Haina kweleeeeeeeeeeeeeeeee...
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Arumeru Mashariki kata ya Usa River....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hao hao 50 ndiyo walimchagua Joshua Nasari na leo ni mbuge au una dhani alienda kuomba kura...
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu na huu ulikuwa mkutano wa kijiji tu....
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kitaeleweka tu CCM wakubali au wakatae!


  M4C daima!
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu nilijua mji mwema Kigamboni Dsm. asante kwa ufafanuzi.
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  m4c daimaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Naona Maxence Melo (The Founder) anachungulia gonga like basi :director::A S 465::nerd:
  There are currently 160 users browsing this thread. (40 members and 120 guests)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa style hii, kufikia 2015 ccm watatakiwa wanunue malori mengi sanaaa kwa ajili ya kubeba watu... Itafika wakati inabidi watu watakuwa wanabebwa kutoka singida kwa ajili ya mkutano wa mbeya...
   
 14. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Thubutu!!!, watu wa Singida waje kutia kiwingu Mbeyaaaaaaaa! hawajipendi??? Waulize mke wa Dhaifu ayaliyompata Mbeya, ndo maana wameamua wawe wanatuua kwa mgongo wa polisiccm.
   
 15. k

  kipuri Senior Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, acheni uongo!!!?
  Hii picha imechakachuliwa
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  haijachakachuliwa,nilikuwepo we gambaz.JAPO CRASHWISE HAKUTAKA TUONANE 'KANIONA KIMYA KIMYA NAMI NIMEMTAMBUA KIMYA KIMYA.
   
 17. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wabongo wengine bana! Afadhali ya Tomaso. Usipoweka picha hawaamini, ukiweka wanasema imechakachuliwa. Natamani kutukana mtu ila naogopa ban
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  inatia moyo sana tena sana kwamba soon tutaikomboa Tannzania yetu mikonono mwa mkololoni mweusi CCM
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Walizungumzia nini?
   
 20. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  unafiki wa baadhi ya washabiki
   
Loading...