wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.
Usipotoshe, kupambana na Zitto ni sawa na kupambana na CCM waliomtuma. Zitto sio jeshi la mtu mmoja bali ni CCM+Zitto. Unakumbuka nani alikuwa akiriporti, kuandaa na kuhudumia mikutano ya waandishi wa habari aliyoitisha Zitto? Au unafikiri hatukuona?
Kawadanganye mawakala wenzako wa magamba na mizigo! Tarehe za kuzaliwa: Lowassa (26 Agosti 1953); Kikwete (7 Oktoba 1950); Slaa (29 Oktoba 1948). Moto wa Operesheni Pamoja Daima umekuwa mkali mnooo! Umekuunguza wewe na mawakala wenzako wote wa magamba na mizigo, mpaka mnaweweseka na kulia vilio vya kenge! NA BADO! Ndiyo kwanza kazi imeanza! Makamanda wa chopa tatu, chochea moto, chochea motooooooo!!!!!!!
Alishakukufanya nini?yaonekana wewe ni miongoni mwa aliyowanini......pole sana bt kuchapwa ni siri ya ndani si kuileta humu JF as we discuss issues and not private staffs.......