PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
Mafiati
 
Attachments

  • 1390650460041.jpg
    1390650460041.jpg
    62.2 KB · Views: 1,196
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.

msaliti ni kama mfu.unamkumbuka yuda
 
Mtakufa nyinyi mzalendo Zitto atabaki tukajua wanazungumzia daftari kumbe bado wanapambana na jeshi la mto mmoja!
 
Wasaliti safari yao huwa inakuwaga hivyo kabla hata ya wakati mkumbukeni yuda alidhani vipande 30 vitamtoa kimaisha vikamwangamiza
 
napendekeza geneza liwe na rangi ya mashuka ya hospitali .
 
Nadhani hawajaelekezwa wafanye hivyo, na viongozi wakiwaona wawaambie waachane na hilo jambo. Tofauti dhidi ya ZZK sio kwenye mambo ya maisha, ni vitu vingine kabisa ambavyo wala havihitaji kumnyanyasa kihivyo
 
Mbeya ni nchi, Sugu rais hahahaha watu wa mbeya hakunaga..
 
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.
Unaukumbuka wimbo tuliokuwa tunauimba dhidi ya Idd Amin? Ni kama Zitto namuimbia, .....hata akifa hatuwezi kulia tutamtipa kagere akawe chakula cha mamba...
 
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.

Amekufa kisiasa. Kama unabisha kamuulize Nabii wenu Shehe Yahaya aliyetoa ufafanuzi kuhusu atakayempinga Kikwete atakufa. Alipohojiwa na BBC akafafanua kwamba Shibuda ndiye aliyempinga Kikwete na sasa Amekufa "Kisiasa".
 
Kiboko ya magamba na mizigo hawalali n wanapost utumbo. SWAPO wa tu wanasoma vyuo vikuu lakini WAPO gizani kama kuku wa kisasa kwa kushabikia ccm. wengine utadhani vichaa ama punguani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom