Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 773
Tunachoju Mbeya iko mpakani na Zambia, Arusha iko mpakani na Kenya na kote huko mmeshuhudia mabadiliko ya majirani zenu hao. Faida ya mageuzi mnaijua ninyi, Tutashukuru mkiwa vinara wa Mageuzi mtukomboe wenzenu tumekaliwa na Magamba yanatumaliza Jamani. Wembe ule ule,