Tky
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 439
- 140
wahi kachukue buk 7 ofisi inafungwa. Afu kuna sehemu nimesoma malaya yeyeto lazima awe na sifa ya uwongo kwanza, maana kila mwanaume utasikia anamwambia mimi sina mwanaumae. Mxcuuu.Picha za ITV zimeonyesha mh Dr Slaa anahutubia watoto wengi kuliko watu wazima! Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajashuhudia kwa macho jinsi helkopta inavyotu na kupaa, pale watoto wenyewe walikuwa wanamwangalia kama vile amalize upesi ili watoto waone jinsi inavyoruka tena! Pole Dr ndio siasa hizo.