PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
Tupo Pamoja sana.Ahsante Chadema.Ahsante Mungu kwa zawadi ya Chadema.
 
Sipati picture maandamano yakianza na mkutano wenyewe.
 
attachment.php
 
Inaitwa M4C pamoja daima twanga kotekote mpaka magamba yajampe!!
 
Vichomi uharo vyote vinawabana kwa kwenda mbele...CCMAFISADI kwishnei
 
Mambo yameshachangamka hapa mafiati Mbeya, maeneo ambayo maandamano yataanzia, watu wanazidi kuongezeka na gari la matangazo linapiga wimbo SLAA ANAWEZA.
 
Mambo yamechangamka maeneno ya mafiati Mbeya, eneo ambalo maandamano yamepangwa kuanzia, watu wanazidi kuongezeka,
gari la matangazo linapiga wimbo SLAA ANAWEZA.
 
Tupo pamoja kamanda mwanzo mwisho tujuze ktk kila jambo.:A S thumbs_up:
 
Safi sana makamanda,

Siku zote ninasema Chadema ni Zaidi ya chama cha siasa.
 
Mkuu Jembe Afrika, punguza hasira kwa mijitu ya ccm iliyojitoa ufahamu. Umetumia "gongo ya mama yako" kama Mod. angejua maeno hayo kwa lugha ya Kinyiha au Kimalila hapa ungekula Ban.

kamanda ndyali watu wanaboa xana.sijui wamelogwa na ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom