PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
Kikwete peke yake kwa upande wa maccm ndo atabofya LIKE.... Waliobakia wote ni mshtuko wa moyo!
Hongera sana Mbeya!!!!!
 
Peoplesssss

Kuna asikali police alikuwa anamlekodi na kumpiga picha Dr. wa ukweli alipokuwa anatoa hotuba kwa ajili ya kubambikia kesi Dr. Slaa. Wanambeya walitaka kumpa kichapo cha kumgombania kama mpira wa kona, busara za Dr. Slaa zimemuokoa aspigwe na wananchi.
 
Kwa hapa DAR misukule ya buku 7 mingi leo imeenda kulishwa wali ukosefu wa pesa unadhaliilisha sana vijana kutoka UDSM wamejumuika kisa wapate kwenda kula na kunywa chai nothing more wengine hawajielewi katika ulingo wa siasa ila wamepelekeshwa kisa njaaaa!!! pigana kuiondoa njaaaa usiiifuge kwa kuifuata.
 
Chadema ni sawa na mgonjwa anaekula dose ya ARV
 
Rais wa Mioyo ya Watanzania kalitingisha Jiji la Mbeya Leo.

Asante Mungu kuwapatia Watanzania zawadi ya Chadema!
 
sr Magdalena njoo huku uone chadema ilivyokosa mvuto !
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu CHADEMA nitakutumikia kwa nguvu na maarifa yangu yote.
 
Najaribu kupata picha huko lumumba kuna hali gani,Kila nikimfikiria mzee wa Ndovu naona kama muda sio ataenda kutibiwa south.....presha juu......hongera CDM mnazidi kudhihirisha ubora wenu,mnazidi kutuaminisha hatuhitaji chama mbadala wa CDM kama mpika majungu mmoja alivyosema.

Pamoja sana Mkuu wangu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom