Picha: Mkutano wa chadema huko Karatu...

Picha: Mkutano wa chadema huko Karatu...

Ila mkuu Zito Pekee ndo Amepigwa Picha? Hao wengine hawakupigwa Picha? au hawakupanda Jukwaani?
 
Ana rangi mbili, sasa hivi kajipakaza rangi ya hii, na rangi ya kutumika atajipaka akiongea na vyombo vya habari.....kwa nia yake anayo iongelea kila mara ya kuta uraHisi......!

Kibanga Msese
 
Huu mkutano wa lini weka tarehe maana jana nasari alikuwa ngarenanyuki na king'ori kwenye jimbo lake na mimi nilishuhudia huu wa lini
 
Mbunge wa Karatu hakuweza kufika?

Mkuu wangu Mwanakijiji Mh. Natse alikuwepo.Tazama Post ya Picha za Crashwise,kuna moja imewaonyesha Waheshimiwa waliokuwepo, Mh.Dada Cecilia Pareso, Kamanda Nassari, Mh.Dada Pauline Gekul na Mh.Tundu Antiphas Mughwai Lissu walikuwepo.
 
huu mkutano wa lini weka tarehe maana jana nasari alikuwa ngarenanyuki na king'ori kwenye jimbo lake na mimi nilishuhudia huu wa lini

leo mkuu..nassari alikuwepo,lissu,akunaye na rose kamili
 
yampasa kutulia na kushirikiana na wenzake bila kujiona yeye ni bora kuliko walio mkuta. mia
 
Last edited by a moderator:
Big up makamanda hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
mleta mada hii mada umechanganya mara unasema mkutano umefanyika jana mara tarehe 30 mbaya zaidi hii mada ipo labda kama unataka imhusu zitto tu..hahahaha
 
Back
Top Bottom