Picha: Mkutano wa chadema huko Karatu...

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Leo kumefanyika mkutano mkubwa sana na ulihudhuliwa na wananchi wengi sana kama picha zinavyoonekana..

attachment.php

attachment.php


Peoples..............
 

Attachments

  • karatu2.JPG
    karatu2.JPG
    67.1 KB · Views: 1,027
  • karatu3.JPG
    karatu3.JPG
    78.6 KB · Views: 1,055
Unapoweka picha pekee sio kiwakilishi kizuri cha mkutano ni vizuri ukatuwekea na maneno yaliyoongelewa katika mkutano huo ili tuweze kuchangia
 
asante mkuu, lakini naona kuna picha 2 hivi umezi up load zikiwa chini juu bila shaka ni huma error , Mods ziwekeni vizuri.. other wise kama una content za mazungumzo yao tuwekee japo dondoo tuone yaliyoongelewa, tofauti na sweznzetu kila kukicha ni udini udini, ukabila ukanda nakadhalika.. wameshindwa hoja wanaleta viloja...
 
asante mkuu, lakini naona kuna picha 2 hivi umezi up load zikiwa chini juu bila shaka ni huma error , Mods ziwekeni vizuri.. other wise kama una content za mazungumzo yao tuwekee japo dondoo tuone yaliyoongelewa, tofauti na sweznzetu kila kukicha ni udini udini, ukabila ukanda nakadhalika.. wameshindwa hoja wanaleta viloja...
Nimesha zilekebisha mkuu picha nilizolenga kuzi upload ni hizo hapo juu...
 
Unapoweka picha pekee sio kiwakilishi kizuri cha mkutano ni vizuri ukatuwekea na maneno yaliyoongelewa katika mkutano huo ili tuweze kuchangia
Watu wa JF bana ukileta maneno hapa hawata kuamini hata ukiwa malaika....
 
Jamani inamaana huko karatu hakuna wana JF wakaweka hapa hotuba ya Zitto? Wapi Tumaini Makene? Wapi maofisa habari wa CDM? Hii ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kukosa coverage ya kutosha.
 
Huyu kijana matata sana, Ana mvuto wa ajabu kwenye kujieleza, dr. Slaa was good ila baada ya kumpata Huyu mama aliyenae binafsi naanza kupata wasi wasi na uwezo wake wa kuhimili unyumba na kazi za chama katika Muda huu, heko zzk msaidie slaa mjenge chama.
 
Mwenyekiti wa cuf taifa ni sawa na mwenyekiti wa chadema wa mtaa! Zitto amejaza nyomi namna hii, mkutano hata haujatangazwa kivile!
 
Last edited by a moderator:
z.jpg

zi.jpg

zz.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.wengi sanakama picha zinavyoonekana..




mail



KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI

JUU NI UMATI WA MAELFU YA WANANCHI WA KARATU MJINI NA VITONGOJI VYAKE WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MKUTANO WA HADHARA WA MH:ZITTO KABWE(CHADEMA) leo 30/09/2012




HAPA MH:ZITTO KABWE ANAONDOKA KWENYE OFISI ZA CHAMA(KARATU MJINI) TAYARI KWA KUELEKEA UWANJANI KUFANYA MKUTANO WA HADHARA

Mh.ZITTO KABWE AKISIKILIZA JAMBO KWA UTULIVU NA UMAKINI WA HALI YA JUU KUTOKA KWA MJUMBE(jina halikutambulika mara moja)
VIONGOZI (WABUNGE) NASSARI,LISSU,ROSE KAMILI WALIOAMBATANA NA MH:ZITTO KWENYE MKUTANO WA LEO KARATU MJINI

NI KARATU MJINI LEO,MH ZITTO AKBWE ALIPOKUWA AKIHUTUBIA MAELFU YA WATU


MH:MBUNGE ZITTO ZUBERI KABWE AKISIKILIZA KERO YA MAJI YA KUDUMU WILAYA YA KARATU,KWENYE SAKATA HILI LA MAJI KUNAUFISADI MKUBWA ULIOSABABISHA ZOEZI LA KUPATA MAJI KWA WAKATI NA WINGI KUWA GUMU.HAYO YAMESEMWA NA WANANCHI YA WAKARATU KAMA TAARIFA KWA MH:ZITTO KABWE

NAIBU KATIBU MKUU NA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI(CHADEMA) AKIONESHA USO WA FURAHA MARA BAADA YA KUTAMBULISHWA MBELE YA UMATI MKUBWA WA WANAKARATU WALIOJITOKEZA KWENYE MKUTANO HUO
 
Crashwise,
Asante kwa picha, sasa twende kwenye sera. Je Makamanda walitoa mwanga ktk maeneo yapi.......?
 
Back
Top Bottom