Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=1] [/h]



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kiongozi wa juu wa Chama cha ACT Wazaleno Zitto zuberi kabwe akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, jana wakati wa chama hicho kilipofanya ziara ya siku moja mkoani hapa katika mfulululizo wa kukitambulisha kwa wananchi, hata hivyo Mkutano huo uliweza kuharibiwa na mvua hali iliyosababisha kuhairisha mara kwa mara na wananchi waliweza kuhudhulia kulazimika kukimbia mkutano huo ili kujikinga na mvua.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Baadhi ya wananchi ambao waliweza kuhudhulia katika mkutano huo, ambao uliweza kufanyikia katika uwanja wa wa mpira wa halmashauri ya wilaya ya mji wa baraidi.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparency ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na wananchi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu ambapo alisema kuwa vyama vingi vya siasa hapa nchini, vinasumbuliwa na uroho wa Madaraka pamoja na vyeo
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanamziki Mkongwe wa mziki wa bongo fleva nchini Seleman Msindi (Afande Sele) ambaye mwanamuziki huyo alijiunga na chama kipya ACT Wazalendo akiwahutubia wananchi wa mji wa Bariadi waliohudhulia kuwasikiliza viongozi wa chama hicho.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency ACT Wazalendo Anna Mghwira akiongea na wananchi wa mji wa bariadi katika uwanja wa mpira wa halmashauri ya mji wa bariadi jana mkoani Simiyu, wakati walipofika mkoani hapa kwa ajili ya kukitambulisha chama hicho.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zittp alisema kuwa uroho wa kutaka madaraka pamoja na vyeo kwa baadhi ya wanachama na viongozi ndani ya vyama hivyo, limekuwa tatizo kubwa na kuvifanya kushindwa kupambana kutetea hali za watanzania ambao ni maskini.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afande sele akiwa amembeba mtoto wakati wa mkutano wa chama chake ACT wilaya Baraidi Mkoani Simiyu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zitto alibainisha kuwa chama chake kimekuja kubadilisha hali hiyo, kwa kueleza kuwa hakiendeshi mikutanio yake kwa matusi pamoja na kutambiana na badala yake kunawaelezea wananchi ukweli juu ya maisha wanayoishi.


Alisema watanzania wamepata chama ambacho ni mkombozi kwao, kwa kuwataka wananchama wa vyama hivyo ambao wanaona chama chao kinaendesha mikutano kwa matusi kujiunga na ACT.


Alifafanua zaidi kuwa ACT imekuja kuwakomboa watanzania ambao wameendelea kuteseka, kunyanyaswa, na kunyonywa na chama cha Mapinduzi CCM tangu kupata uhuru.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hata hivyo Kiongozi Mkuu Zitto Kabwe aliweza kufungua ofisi kuu ya Mkoa ya Chama cha ACT iliyoko katika uwanja wa Mpira wa halmashauri ya Mji wa Bariadi.

Simiyu Yetu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
DAAAH JOB TRUE TRUE, HIZI PICHA HIZI.. MWL KAIJAGE ALITUBANIA HIZI, DAAAHHH.. KWELI KUENEZA CHAMA NI JOB TRUE TRUE.. HUENDA WAKAZIKANA WENYEWE, MKUUnngu007 ASANTE SANA PICHA ZINAJIELEZA HATA USINGEWEKA MANENO, ; PICHA YA TISA INATOA UJUMBE MZITO SANA, JAMAA KAINUA MIKONO JUU KUWAPUNGIA WATU, THEN NIWATU WATATU TU WANAMSAPOTI.... TUKUTANE OKTOBA. HUU UZI HUU...
 
Uwanja umekaula hivyo unasema mvua mbona hatuwi wakweli
 

Attachments

  • 1429730643281.jpg
    1429730643281.jpg
    72.2 KB · Views: 1,299
  • 1429730738165.jpg
    1429730738165.jpg
    67.1 KB · Views: 1,291
Picha ya 3 kutoka juu inaonyesha watu walikuwa hamuelewi anaongea ni nini huyu nuru ya chama,, maana kuna kikundi pale nyuma kinapiga story, halafu jamaa wa act pale chini kulia amekunja uso sana, kwamba mambo hayaendi vizuri kabisa, daaah,,,,, wacha move iendeleee, lakini mwl kaijake hatendei haki jukwaa hili, kwa sababu yuko selective kuleta picha, hizi picha ni adimu sana hizi kuziona humu....
 
Picha ya sita mwenyekiti, amejitahidi kukiuza chama , mpaka mishipa ya shingo imemsimama, lakini watu hawaelewi.. Namuone huruma sana huyu maza angetulia tu alee wajukuu basi, siasa za majukwaani hzi haziwezi, bado wakianza kuwa threat kwa wafadhili wao ccm, cccm wataagiza polisi wataanza kuwaandama na mabomu, pingu, marungu, jela, sasa huyu mama wa watu,.. Sidhani kama atamudu mikiki miki hii..kueneza chama kama mali ya mtu binafsi ni kazi sana...
 
Ni nyomi hasa mkuu., lakini nashangaa mwl. Kaijage hakuzilete hizi picha adimu kabisa, kwa kweli hizi ni picha za mwaka, mwl kaijage anapaswa kufukuzwa kazi mara moja, mwl kaijage anaweza kuwa ukawa but anafanya tu kazi act tanzania kwa shinikizo labda coz hana kazi.. Ila kwa mwendo huu ajirekebishe kibarua chake kinaweza ota nyasi sooon...... Act oyeeee. Lowasaaa safiiiii, nyrere oyeeeee..
ilikuwa nyomi, nyomi kweli
 
Itikadi ya ACT ni ya mrengo wa kati kushoto.....demokrasia ya ujamaa....mirengo ya vyama vingine ni ipi ili tupime mirengo hiyo kwa vitendo?
 
Huu uzii hautadumu, maana kiongozi mkuu Kajaza nyomi ya kufa mtu hahaahha
 
Watoto wengi kweli, na wamekuja kumwona Selemani Msindi, kiongozi mkuu msaidizi
 
itikadi ya act ni ya mrengo wa kati kushoto.....demokrasia ya ujamaa....mirengo ya vyama vingine ni ipi ili tupime mirengo hiyo kwa vitendo?
acha kutudanganya hapa ,act ni mrengo wa kushoto usituletee porojo zako hapa
 
DAAAH JOB TRUE TRUE, HIZI PICHA HIZI.. MWL KAIJAGE ALITUBANIA HIZI, DAAAHHH.. KWELI KUENEZA CHAMA NI JOB TRUE TRUE.. HUENDA WAKAZIKANA WENYEWE, MKUUnngu007 ASANTE SANA PICHA ZINAJIELEZA HATA USINGEWEKA MANENO, ; PICHA YA TISA INATOA UJUMBE MZITO SANA, JAMAA KAINUA MIKONO JUU KUWAPUNGIA WATU, THEN NIWATU WATATU TU WANAMSAPOTI.... TUKUTANE OKTOBA. HUU UZI HUU...
Naona ulikuwa na haraka, rudia kuhesabu tena mikono iliyoinuliwa.
 
Back
Top Bottom