Picha: Mengi akigawa utajiri wake

Apo ndo mwisho wake wa kufikiri. Na kwakua ni chake, vipi umpangie namna ya kutumia!?!? Kwanini we ulie ona kasoro izo usiendeleze alipo achia Mengi?! Acha lawama zisizo na maana fanya nawewe sasa.

Sifanyi ujinga wa kutumia vilema au wasichonacho kwa faida yangu hata siku moja, Kumbuka hilo.

Ukitaka kumsaidia mtu haumpi kula unampa njia za kujitafuta kula bila kurudi kwako tena kwa ajili ya kula, akija muwe mnaongea mengine ya maana. Kumbuka hilo.
 
Alichangisha fedha kwa watu au hela zake izo? Sifaamu plse ni faida gani atapata kwa ku share chakula na watu hao. Mara ngapi umefanya kitu icho nyumbani kwako? Au kituo chako kinapatikana wapi.

Kukutanisha watu pamoja waka badilishana mawazo, wakafurahishwa na burudani tofauti ina maana sana.

Acha kukatisha wenzako tamaa. Endeleza pale alipo ishia sio kulalama bila sababu. Hela zake namna ya kuzitumia upange wewe!?
 
Waislam kula hatuhesabu kama ni msaada, kula ni rizki ambayo ikifungwa hata ushindiliwe haiingii.

Maelfu ya watoto yatima wanufaika na misaada kutoka Vodacom Foundation. Ni kuipitia kampeni ya Care and Share
 
Kuna shule ya walemavu yombo aliijenga yy,walemavu wanasoma bure
 
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.

Umaarufu gani mengi anouhitaji?hayo ndio matokeo ya mitaala ya madrasa,mbona Ally Mufuruki tajiri mkubwa Tanzania hajawai kuwajengea hata stoo ya kuifadhia kandambili misikitini.
 
Umaarufu gani mengi anouhitaji?hayo ndio matokeo ya mitaala ya madrasa,mbona Ally Mufuruki tajiri mkubwa Tanzania hajawai kuwajengea hata stoo ya kuifadhia kandambili misikitini.

Wa kuonekana ni mwema kwa kuwatumia vilema na wasiojiweza.

Ni nini zaidi unafikiri?

Jibu: Udhalim na unamsuta hapo, anaitafuta furaha haipati, labda nifanye hivi, labda nifanye vile. Hana raha hata kidogo.
 
Angekua anajitahid , omba omba mosh mjin pale wasingekuwepo! tena ni wachache sana, pale crdb wako wa4, stand barabara ya kuelekea mbuyuni karbu na nmb wanaesabika pia.

hao uliowaona moshi we uliwasaidia nini!?.."we cant help everyone BUT everyone can help somene"...
 
uliwahi kusikia kuwa anawasomesha wao na hata mayatima? kwa nini asiwape elimu? hata hizo pesa anazojitangaza kuwasaidia walemavu huwapa mashikaji zake kama akina Likokola mwenye vikoba na walemavu hawazioni.

me naskia akiwapeleka watoto india kwe upasuaji wa moyo...nais apo pia atakua anjipa promo tu,...au sio?
 
Kama siyo sawa, ni lazima na mimi nione sawa? Unanchekesha.
Sasa mtu kawakaribisha watu lunch unasema sifa sasa ulitaka afanyaje?ila ............never mind watu hatufanani.:hand:
 
Sasa mtu kawakaribisha watu lunch unasema sifa sasa ulitaka afanyaje?ila ............never mind watu hatufanani.:hand:

Awape nyavu wakavue, si kuwapa samaki. Nisome juu huko, usikurupuke.
 
Awape nyavu wakavue, si kuwapa samaki. Nisome juu huko, usikurupuke.
Anatoaga sana vicoba,juzi kati kamsaidia albino flani,week sio nyingi katoa msaada shule usinikariri vibaya lkn......?
Ila ww una shida moja tuu sio kwamba hutaki kumkubali hapana ila kuna kitu ndani yako why ni wa upande wa 2?
 
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.

Tumia akili ndogo tu kufikiria ,kwa mengi tayari umaarufu anao,anakutana na mabalozi wa kigeni,mawaziri,wafanya biashara wa kimataifa sasa umaarufu gani tena huo,kwani kaanza jana?chuki za kiccm ?????
 
Kasome ppst namba 91 nimeshalijibu hilo.
 
bakhresa pesa anazo lakin hajawahi kusaisaidia walemavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…