Paul ni jina lenye asili ya kiroma "Paulus" lenye maana ya "small" or "humble", uislamu haulazimishi mtu kubadilisha jina ila unapendekeza muislamu awe na jina lenye maana nzuri, hivyo hakuna tabu Paul na Macca.Paul na macca wapi na wapi
Acha kukariri maisha,Hujaona clip ya mashehe wamevaa kanvu wanacheza kishoga na wanatunzana hela?
Pogba ni mtu maarufu,kila akifanyacho ni habari,unataka Pogba awe kama wewe ambaye hata jirani yako tu hakujui? mnajitoa ufahamu kwa chuki mpaka mnaanza kuandika vitu vya kitoto!Kwa hiyo kitu cha ajabu ni nini hapo kwa yeye kwenda huko maana wapo waislamu wengi huenda hata hapa Tanzania wapo wanaoenda
Franck Ribery mchezaji wa Bayern Munich na Ujerumani,wanajua ila wanajitoa tu ufahamu.
Nakumbuka siku moja ulidanganya umma kuwa Patrick Vieira amesilimu...bibi mtata wewe! Macho makavuuu, unaongopaNimeipenda hii...
"...Uislamu ni - heshima kwa binadamu ".
Baada ya kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhani Paul POGBA aliamua kwenda kufanya Umra katika mji mtakatifu wa Macca
View attachment 1126049View attachment 1126050View attachment 1126051View attachment 1126052View attachment 1126053
Kuna tofauti kati ya hija na umra, hija ni ibada ya siku maalum na sehemu maalum, na umra unaweza kuifanya muda wowote ila ni sehemu maalum, alichofanya Pogba ni umra kwa kuwa ni baada ya Ramadhani na hija hufanyika takriban siku sabini baada ya Ramadhani, huenda alishawahi kwenda hija huko nyuma hivyo akiitwa alhaj Paul haina neno kwa kuwa ameshafanya ibada hiyo huko nyuma.kwa hiyo sasa atakuwa alhaj paul au mmeshampa jina??
Nadhani ni brand name tu ila akiwa huko kwenye dini yake analo jina lake,Mimi natokana na familia ya kikristo ila kwetu kuna Salim,Shaban Iddi na Halima so nadhani haya ni majina tu japokuwa huyatumia but imani siyo jina ni kuishi kile unachoamini kinakuelekeza kwa Mungu wako.Pogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??
Hata Samatta alifunguliwa thd hapa,sijaelewa point yako ni nini hasa? narudia tena,Pogba ni super star ni mtu maarufu,kila anachokifanya ni habari,hata akigombana na mkewe kama media zikijua zitaandika kama habari.Yaani wewe ni tumbaf kabisa, hapo kuna ajabu? Samata alikuwa hapo juzi tu
Hahah grandma.............Sharia ya Kiislam ndiyo hukumu pekee inayompa fursa aliyeuwa kusamahewa na warithi.
Ukiona mtu kauliwa ujuwe warithi walikataa kumsamehe, walikataa fidia na wakaamua auliwe. Kumbuka ni warithi hao wenye maamuzi anapokutikana mtu na hatia.
Tena nchi zingine zinazofata sharia inatakiwa hao warithi ndiyo watimize hiyo hukumu na siyo kama kuna muuaji kaajiriwa alipe kisasi. Hii hupelekea 99% kutoweza kutimiza na kuishia au kusamehe au kuchukua fidia.
Kwa upande mwengine sasa, Tazama sheria yetu. Muuaji akikutwa na hatia anauliwa Kwa kunyongwa. Hakuna anaeweza kumsamehe isipokuwa Rais pekee na 99% hawajawahi kusàmehewa.
Pia huku kwetu kuna "mob justice" kibaka anaweza kupora simu tu, watu kama wewe mkampiga na kumuua hata kufikia kumchoma moto. Na hakuna anaechukuliwa hatua yoyote. Thubutu uuwe mwizi nchi za sharia.
Usome Uislam kijana, ni mwema sana usije na mihemko tu ya chuki za kujazwa ujinga.
Umeuliza maswali ili ufahamishwe kisha ukaleta dhihaka kabla hujafahamishwa ulichouliza!Hahah grandma.............
You must be kidding,aliyeuwa anasamehewa na warithi?kivipi?hakika bora kuwa mpagani au kusoma gazeti la katuni kuliko kusoma kitu kama hiko.
Pogba ni mtu maarufu,kila akifanyacho ni habari,unataka Pogba awe kama wewe ambaye hata jirani yako tu hakujui? mnajitoa ufahamu kwa chuki mpaka mnaanza kuandika vitu vya kitoto!
Wapi umeambiwa kua kuna kitu cha ajabu hapo?Kwa hiyo cha ajabu ni nini hapo?
Wapi umeambiwa kua kuna kitu cha ajabu hapo?
Pogba hata leo tu akipakaa rangi nyeupe kwenye nywele zake itakua ni habari,wataandika Pogba abadili muonekano wake,japo hilo sio la ajabu na wengi wameshalifanya, Ronaldo alifuga vindevu kwenye World cup ikawa habari,leo hii Messi akikata ndevu itakua habari japo yeye hatokua wa kwanza kutokua na ndevu,Weka chuki zako pembeni ili uelewe,nimejitahidi sana kukufahamisha ila kama una chuki ya udini huwezi kuelewa.
Mkuu kama umekukwaza huu uzi fumba macho pita kama hujauona vile kwani kila uzi lazima uchangie, we unadhani yote yanayoletwa humu hatuyajui. Ukiona sio newz piga chiniNilikuwa nataka urudi kwenye akili na ufahamu wako tu mkuu wala sina chuki yoyote ya kidini kuwa hakuna cha ajabu chochote kwa yeye kufanya takwa lake la kidini kiasi cha kufaa kuanzishiwa uzi hapa ili hali wapo mamilioni ya waislamu wafanyao hivyo
Umeuliza maswali ili ufahamishwe kisha ukaleta dhihaka kabla hujafahamishwa ulichouliza!
huoni kua una tatizo kichwani mwako?
Iko hivi,mtu akiua anapohukumiwa kuuawa,wanaulizwa ndugu wa marehemu "warithi" wapo tayari kumsamehe muuaji ili akiepuke kifo au wamuache afe? na hizi hukumu huchukua muda mrefu kutekelezwa ili kutoa chance kwa warithi huenda wakaingiwa na imani na kusamahe.
Wewe ndiye unayetakiwa urudi kwenye ufahamu wako na akili zako,sasa ndio nimeelewa kua kumbe hii habari imekua ni mwiba kwako na imekuuma sana,Nilikuwa nataka urudi kwenye akili na ufahamu wako tu mkuu wala sina chuki yoyote ya kidini kuwa hakuna cha ajabu chochote kwa yeye kufanya takwa lake la kidini kiasi cha kufaa kuanzishiwa uzi hapa ili hali wapo mamilioni ya waislamu wafanyao hivyo
Basi na Mahakama zisiwe zinatoa hukumu tuwe tunasubiri tu hukumu za Mungu?Sasa kama mrithi/warithi wakasamehe wauwaji Mungu nae atafanya kazi gani?huoni ulichoandika paragraph ya mwanzo kwenye post yako kikikurudi?
Mkuu kama umekukwaza huu uzi fumba macho pita kama hujauona vile kwani kila uzi lazima uchangie, we unadhani yote yanayoletwa humu hatuyajui. Ukiona sio newz piga chini
Dini imani siyo jina bcuz ht Umar alikuwa kafir kabla hajaw muislam kwa jina hilo hiloPogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??