PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima
 
Kwani wanaowakata viungo Albino wakiwa hai ni wa dini gani? wanaoua vikongwe kwa imani za kishirikina ni wa dini gani? Israel na Marekani wanaua raia wasio na makosa utailaumu dini? Polisi weupe wa USA wanawapiga risasi na kuwaua weusi utasema ukristo ndio unaua? Kibwetere aliyewachoma moto waumini wake utaulaumu ukristo wote? Jitafakari na usiwe una comment kwa misingi ya chuki,chuki inakutesa mwisho wa siku utajikuta na vidonda vya tumbo bure!
 
Ni sharia ya Kiislam ndiyo iliyowapa warithi haki ya kusamehe. Soma kijana, usibishe tu kijinga kwa vitu usivyovielewa. Sitetei kitu, hapa nakupa darsa uuelewe Uislam. Nitakuwekea ushahidi wa hilo baadae kidogo.

Kwanza razama ukatili huu, kaiba tu huyo, prngine simu tu. Haki iko wapi hapo? Hii hufsnywa na watu kama wewe hapa kwenu.

Tahadhari jamani picha zinatisha...


Naona ni chuki tu imekujaa kuona Paul Pogba, mchezahi maarufu kaiona nuru na kujisalimisha kwa Allah.

Usichukie, usome Uislam unaweza kuwa upo kizani na nuru ipo mbele yako huioni. Wacha chuki za ujinga tu zisizo na sababu.
 
Kadri unavyoichukia hii dini, ndivyo ambavyo utajitahidi kuisoma ili uweze kuikosoa.....
Kwa kuwa utazidi kuisoma basi hapo ndipo utakapozidi kuujua ukweli wa uislam.......

Na kadri ya utakavyozidi kuujua ukweli basi hapo ndipo utakapozidi kumpwekesha Mungu na kuujua ukubwa na uwezo wake.

Na kadri utakavyozidi kumpwekesha Mungu, ndivyo nuru na mwangaza wa uislam utakavyoingia katika moyo wako.

Na kwa kadri ya nuru na mwangaza utakavyozidi kuingia katika moyo wako basi ndivyo utakavyopupia kuingia katika dini ya Mwenyezi Mungu kwa kasi.

Jitahidi kuendelea kukosoa ili uingie ktk uislam
 
Cha ajabu huu ukatili wa namna hii,wao hua hawauoni!!
 
Over my dead body!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…