Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 145
Pia Selasini uko sahihi kuhusu suala la bajeti.Cha muhimu shirikiana na ben saanane kujenga Rombo acha hofu unayoonyesha hapa.mshirikishe hata edward kinabo.najua ben pia anajipanga kwenda rombo lakini kauli kama zako za kuegemea kwa JK ndizo zitakazokumaliza kwani nimeona jinsi mpinzani wako anavyojua kuyatumia haya kukumaliza kisiasa.nilishasema mkicheza mtakosa rombo kama tarime.ninyi nyote ni wazuri wa propaganda na hatari sana kama mtachuana huko.....
hii ndiyi vita ambayo mmeshaanza kugombea jimbo la Rombo?
kweli niliona msimamo wa Ben Saanane kupinga fikra zako za kuita barabara ya rombo jk road.mwanzoni nilifikiri ben ameanza vita ya jimboni lakini nikakumbuka misimamo yake mara nyingi ni tata.niliona mahali pengine ametwist hili la mbowe na kudai maendeleo hayalingani na miaka 50 huku akidai ni wajibu kujenga barabara
Pia Selasini uko sahihi kuhusu suala la bajeti.Cha muhimu shirikiana na ben saanane kujenga Rombo acha hofu unayoonyesha hapa.mshirikishe hata edward kinabo.najua ben pia anajipanga kwenda rombo lakini kauli kama zako za kuegemea kwa JK ndizo zitakazokumaliza kwani nimeona jinsi mpinzani wako anavyojua kuyatumia haya kukumaliza kisiasa.nilishasema mkicheza mtakosa rombo kama tarime.ninyi nyote ni wazuri wa propaganda na hatari sana kama mtachuana huko
Namuunga mkono BEN SAANANE AWE MBUNGE WE2 WA ROMBO KWA NGUVU ZOTEKinabo ndiye anamchafua Selasini kwenye mtandao mkuu.Anafanya kazi Tanzania Daima na kutumia nafasi hiyo kwa viongozi wa juu wa Chama
Pia Selasini anajua mipango yote ya akina Ben Saanane ya kupanga mikati kumuengua kule Rombo na propaganda chafu.Ni kweli kama ni kutumia makosa ya mpinzani waje ben ni mzuri zaidi.Nimeona hili suala jinsi lilivyochochewa na Ben Saanane huko facebook na Twitter na alivyoweza kuwaingiza kingi vijana wa rombo.Pia amewasiliana na mitabdao yake huku rombo kuhusu hilo kwa lengo la kuchochea propaganda dhidi ya Selasini.Tunaandaa Tarime nyingine
mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo
Tatizo hapa siyo Uzuri wa propaganda wala Ubunge. Mfano wa Juzi kwenye Uchaguzi mdogo wa Udiwani huyo Ben Saanane au wengine wote wanaofikiria kugombea Ubunge hawakuonekana? Leo Mhe.Selasini kapambana tukashinda. Mbona kwenye kutekeleza ahadi hawapo? Mhe.Selasini aliahidi, Ametekeleza! Sasa kama maneno ni silaha ya kushinda ubunge Rombo waendelee.
Namuunga mkono BEN SAANANE AWE MBUNGE WE2 WA ROMBO KWA NGUVU ZOTE
Siasa sio uadui ndugu yangu bali ni upinzani. Mbowe na Kikwete si maadui bali ni washindani wa kisiasa. Wewe ulitarajia amnunie. Tuige mifano ya nchi zilizokomaa kidemokrasia kama Marekani. Wanachuana majukwaani lakini bado ni marafiki wanaoheshimiana.mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo
Wewe ndiye Selasini kumbe?Mbona una hofu sana?Siungi mkono harakati za Ben na nimechukia sana tabia yake ya kujaribu kuhujumu uchaguzi UVCCM akiwatumia akina Paul Makonda wa CCJ,lakini naona unampa nafasi nyingi ya kujijenga kutokana na makosa yako .Wacha CCM tulirudishe jimbo kuna kijana anaitwa prosper Ngalai tulimvisha ukamanda wa mkoa wa UVCCM ndiye atakayekua kiboko yake Saanane
mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo
Anapongezwa kwa kazi aliyoiombea kura? tanzania bana , kichekesho kweli, mtu analipwa kwa kazi hiyo , then unampongeza, elimu ya uraia bado sana other wise iwe ushabiki tu.
Hiyo picha angekuwa Zitto, ungesema yote lakini umemuona Mbowe umeamua kusifia Kombati, ha haa ha! JK bana anawapatia sana hawa watu.
Waeleze vilaza wa Arusha wanaopiga mikelele katika uzinduzi wa Jiji lao.....
wewe ndiye selasini kumbe?mbona una hofu sana?siungi mkono harakati za ben na nimechukia sana tabia yake ya kujaribu kuhujumu uchaguzi uvccm akiwatumia akina paul makonda wa ccj,lakini naona unampa nafasi nyingi ya kujijenga kutokana na makosa yako .wacha ccm tulirudishe jimbo kuna kijana anaitwa prosper ngalai tulimvisha ukamanda wa mkoa wa uvccm ndiye atakayekua kiboko yake saanane......