Kwako MWINJILISTI MAWAZO......
Nimetumia neno hilo kukuonya, si vyema sana katika zama hizi za KUTOFUNGAMANA NA DINI yeyote kujitokeza vionyeshi vya dini, SISI tutapata pa kusemea.
1. Chadema ni mpango wa mungu
2. Tulianza na mungu tutamaliza na mungu
3. Kuchapa neno (hii imejitokeza ktk uzi huu tu, si lugha endelevu)
4. % kubwa ya watu wa dini tofauti kukumbwa na madhila
CUF nao wapo wanapotelezaga,
1. Hotuba ya Prof. Msikitini ( hii ukiisikiliza hakika inachafua hali ya hewa)
2. wanaharakati wengi wa dini wanajitanabaisha wazi - hivyo wanajihusisha pasi na shaka
3. Mminong'ono kuwa atakayepiga kura tofauti ni KAFIR (lugha ambayo inaashiria upande fulani wa dini)