Picha: Mauaji ya Kimbari Rwanda (Rwanda genocide)

Picha: Mauaji ya Kimbari Rwanda (Rwanda genocide)

Mwanamume mzima nimejikuta natokwa machozi bila kupenda.

Sifa zote njema apewe Mwenyezi Mungu.
 
ASANTE KWA MWALIMU KUPINGA UKABILA,,,,,MUNGU IBARIKI TANZANIA YA HAYATI WA BUTIAMA
 
Chiwaso

Tatizo ni la watutsi hao jamaa hawasameagi mtu kabisa. Ila Habyrimana alijua kitakachokuja kumtokea ikabidi awaandae watu wake in case litatokea la kutokea basi wajilinde.

RPF walifanya dhambi kubwa sana ya kumtungua habyrimana. Watu kusikia ndege imetunguliwa basi wakatafutwa wenye pua ndefu wote waishe. Kweli wengi walifyekwa vibaya sana pole yao. Ila nawaombeni wawe na upendo ila hawa watutsi aisehhh yaani hawanaga msamaha kama Kagame alishasemaga kwmba yeyeto atakaye msema vibaya basi mkono wake utamfikia ppote alipo duniani

Swala la Rwanda ni la muda ni kama na Burundi maana Nkurunzinza alishawaambi hao watutsi mkileta za kuleta basi waangalie lake Tanganyika pale patakuwa makaburi yao
 
Hebu tuone waliopitia wenzetu ili tujifunze kitu hapa.

images

Inadhaniwa zaidi watu 800,000 walikufa kwenye mauaji haya.

images

Maiti zilizagaa mitaani na mbarabarani, kwa wakati huo kila mtu aliangalia nafsi yake tu.

images

Nani atamsaidi mwenzake, watoto walipoteza karibia familia nzima.

images

Chakula hakuna,na maji yote yalijaa damu za watu.

images

Hata kama hatujali kuhusu sisi basi tuwatafakari watoto wetu wataishi ktk mazingira gani.

images

Hakuna wa kumsaidia, ni kilio chake kwa mama yake kipenzi.

images


images

Unabakwa na kisha wanakuua.

images

Mitaani utazika ya ndugu yako yupi uache yupi.

images

Watoto kuona maiti walishaanza kuzoea.

images

Kila sehemu ni maiti tu.

images

Ni vilio visivyo na msaada,wapo waliosubiri na wao wauliwe kwa maana ana alichobakisha.

images

Wahutu na watutsi wote ni wahamiaji.

images

Maiti zilikusanywa na kutupwa kwenye kaburi la pamoja kisha kijiko kinafukia.

images

Baadhi ya watu waliobahatika kubaki wamening'iniza picha za wapendwa wao waliokufa.

images

Hakuna mwenye tabasamu,ni kumbukumbu mbaya mno maana inasemekana wengine wanawajua waliowauwa ndugu zao ila wameombwa kusameheana ili maisha yaendelee mbele.
Chuki huanza Pole Pole hutengenezwa na kusambaa Pole Pole.. Tuendelee kufurahia wakaz wa kimara kubomolewa huku kukiwa na stop order ya mahakama wakati kule mwanza tunaambiwa wasibomolewe kwa kuwa ni wapiga kura wake....
 
Chuki huanza Pole Pole hutengenezwa na kusambaa Pole Pole.. Tuendelee kufurahia wakaz wa kimara kubomolewa huku kukiwa na stop order ya mahakama wakati kule mwanza tunaambiwa wasibomolewe kwa kuwa ni wapiga kura wake....
duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom