Picha: Mauaji ya Kimbari Rwanda (Rwanda genocide)

Picha: Mauaji ya Kimbari Rwanda (Rwanda genocide)

Kama umeona hizo picha, ukikutana na mtu akakwambia ni Mnyarwanda au Mrundi mwogope - ni zaidi ya hatari na hao ndo wanaleta shida kwenye mapori mkoani Kagera. Jamaa wana roho za ajabu.
Ila sisi mkuu tunaishi nao tu, huku ULYANKULU Tabora, kwa sasa kidogo mambo mazuri ila zamani ilikuwa kawaida kuokota maiti kila muda sema serikali imewakalia kooni. Akileta cha kuleta jera.
Halafu unawakuta wanajifanya wameokoka vibaya sana.
 
Ishi nao kwa tahadali ya hali ya juu; nature yao ni ukatili. Kujifanya wameokoka ni kujivicha kwenye kivuli cha wokovu ili waaminiwe waweze kutimiza malengo yao.
 
Respect to rate Mwl.Jk Nyerere alituwai mapema kikabila...Saiz tunauwezo wakutaniana kikabila bila madhara yoyote kutokea..nadhan angeshindwa kugany ivo leo hii kila mkoa wa Tz ungekuwa nchi mf.Mbeya Republic,Sukumaland Republic
 
Dunia hii bwana kuna watu huwa ni furaha yao! Kuona wenzao wanakufa au wanapata matatizo
 
Ila sisi mkuu tunaishi nao tu, huku ULYANKULU Tabora, kwa sasa kidogo mambo mazuri ila zamani ilikuwa kawaida kuokota maiti kila muda sema serikali imewakalia kooni. Akileta cha kuleta jera.
Halafu unawakuta wanajifanya wameokoka vibaya sana.

Lakini hao wa ULYANKULU ni wahutu wa Burundi. Karibu barabara ya 13 kachoma mzee baba
 
Respect to rate Mwl.Jk Nyerere alituwai mapema kikabila...Saiz tunauwezo wakutaniana kikabila bila madhara yoyote kutokea..nadhan angeshindwa kugany ivo leo hii kila mkoa wa Tz ungekuwa nchi mf.Mbeya Republic,Sukumaland Republic.I appreciate your work Mwalimu japo kuna uliozngua ila bado heshima kwako..
Hivi viingereza vingine! rate? jamani andikeni kiswahili.
 
Haki ikiminywa hata mbingun lazima tu watu watakosa uvumilivu
 
MWAKA 1994 JULY NDIYO MWAKA NILIOZALIWA , MPAKA NAFIKA MIAKA 10 JINA LA UKOO NILILOPEWA SIKUJUA MAANA YAKE MPAKA NILIPO FIKA MIAKA 10 NDO NKA KUJA REASON BEHIND MY TRIBAL NAME DAHHHHHH

KI UKWELI NI HISTORIA AMBAYO ISIYOWEZA KUFUTIKA KATIKA DUNIA HIII ,,, NA NILIJARIBU KUFUATILIA CHANZO CHA YOTE NI WALEEEEE WENYE NGOZI NYEUPE , , DAH KWELI 1960s,,to now AFRICA IS COVERED WITH POST COLONIAL ERA .
 
Hebu tuone waliopitia wenzetu ili tujifunze kitu hapa.

images

Inadhaniwa zaidi watu 800,000 walikufa kwenye mauaji haya.

images

Maiti zilizagaa mitaani na mbarabarani, kwa wakati huo kila mtu aliangalia nafsi yake tu.

images

Nani atamsaidi mwenzake, watoto walipoteza karibia familia nzima.

images

Chakula hakuna,na maji yote yalijaa damu za watu.

images

Hata kama hatujali kuhusu sisi basi tuwatafakari watoto wetu wataishi ktk mazingira gani.

images

Hakuna wa kumsaidia, ni kilio chake kwa mama yake kipenzi.

images

images

Unabakwa na kisha wanakuua.

images

Mitaani utazika ya ndugu yako yupi uache yupi.

images

Watoto kuona maiti walishaanza kuzoea.

images

Kila sehemu ni maiti tu.

images

Ni vilio visivyo na msaada,wapo waliosubiri na wao wauliwe kwa maana ana alichobakisha.

images

Wahutu na watutsi wote ni wahamiaji.

images

Maiti zilikusanywa na kutupwa kwenye kaburi la pamoja kisha kijiko kinafukia.

images

Baadhi ya watu waliobahatika kubaki wamening'iniza picha za wapendwa wao waliokufa.

images

Hakuna mwenye tabasamu,ni kumbukumbu mbaya mno maana inasemekana wengine wanawajua waliowauwa ndugu zao ila wameombwa kusameheana ili maisha yaendelee mbele.
NIlikuwa pale last time, nikapitia mpaka makumbusho. Nikanunua vitabu kadhaa, nikanunua pia Pupple Bracelet iliyoandikwa Never Again. ISIKIE TU.

KIREHE, KIBUNGO, Kihansi. Ilikuwa Maiti tuuuuuu.

Waaliuana sana pia MAKANISANI. Ila haikuwahi kutokea na wala kufanika MISKITINI.

Jion yake niiibua Mtusi fulani hivi, alpoingia ndani akavikuta vile vitabu juu ya meza. NUSU NIMKOSE.

akanipa sharti lakuondoa vitabu vile pale. Nikaviondoa.

Akaniambia, kwake ni kumbukumbu mbaya kabisa. Kapoteza familia nzima. Amepona yeye tu.

Ilikuwa nimpe fifty, nikampa 100.

Ni rafiki yangu mpaka leo hii.
 
MWAKA 1994 JULY NDIYO MWAKA NILIOZALIWA , MPAKA NAFIKA MIAKA 10 JINA LA UKOO NILILOPEWA SIKUJUA MAANA YAKE MPAKA NILIPO FIKA MIAKA 10 NDO NKA KUJA REASON BEHIND MY TRIBAL NAME DAHHHHHH

KI UKWELI NI HISTORIA AMBAYO ISIYOWEZA KUFUTIKA KATIKA DUNIA HIII ,,, NA NILIJARIBU KUFUATILIA CHANZO CHA YOTE NI WALEEEEE WENYE NGOZI NYEUPE , , DAH KWELI 1960s,,to now AFRICA IS COVERED WITH POST COLONIAL ERA .
Na swahiba wao ambaye ndio kiongozi wa maisha wa Rwanda
 
Hivi silaha walitoa wapi maana bunduki zilizagaa kama pipi
Walikuwa wananunua mapanga kutoka Ubungo farm Implements. Makontena na makontena ya mapanga yalikuwa yanaingizwa Rwanda, na muda si mfupi yanaisha.

Watu wakajuwa inawekana jamaa wanavunja misitu nambuga za kufa mtu. Kumbe walikuwa wanayaficha ndani, wakisubiria siku.

Siku ilipofika, Mungu ndio anajua.

Kuna wakati, unakatwa kipande kipande kama buchani

walikuwa wakiomba kuuliwa kwa Risasi, wanaambia hawana hadhi ya kuuliwa kwa Risasi. Wanastahiri kuuliwa kwa mapanga.

Acha kabisa.

Yaikie tu, usiombe yakukute
 
Aisee...Ilikuwa inatisha sana ilee vita ndo maana kagame anaona akiiacha nchi inaweza kurudi kule kulee..! Ukabila balaa sanaa dhambi ya ubaguzii
 
Aisee...Ilikuwa inatisha sana ilee vita ndo maana kagame anaona akiiacha nchi inaweza kurudi kule kulee..! Ukabila balaa sanaa dhambi ya ubaguzii
Kwao haikwepi, ni suala la muda tu. Tatizo ni kuwa, kuna kabila (WATUSI) kuwa lina haki ya kuwatawala wengine. Wahutu na watwa huonekana kuwa hawana thamani mbele yao. Na wao ndio huwa hupendelewa kwenye kila kitu, kuanzia utawala mpaka kumiliki Uchumi. U-selfish.

Kwa hiyo, watapiga hiyo kwa muda. kisha watasahau na kurudi kule kule.
 
Back
Top Bottom