PICHA: Mara Yamkabidhi Lowassa Hati ya Ushujaa Uliotukuka

PICHA: Mara Yamkabidhi Lowassa Hati ya Ushujaa Uliotukuka

So inspiring kwa kweli, hata tukiweka uraisi pembeni, bado ni mzazi wa kuigwa, ni mtanzania wa kuigwa hekima yake.
Mungu akupe zaidi.
 
Huyo mzee anahangaika sana yani sijui anatafuta nini yani mwizi huyo! wait oct 25tumuadhibu
Mimi ninachojua Lowassa ni mtu safi hajawahi kuiba sehemu yeyote kwani sijasikia kashtakiwa au mtu yeyote aliyetoa ushahidi wa nini alichoiba Lowassa, sasa wewe unaemwita mwizi nafikiri siri unayo na Mkeo aliipata fresh baada ya kutafunwa.
 
Mamako anajua. now mchukue nenda nae chumbani kwako atakuambia. lowasa ni mwizi fisadi na tapeli hafai kuwa rais wa nchi yetu habari ndio hiyo
 
Mamako anajua. now mchukue nenda nae chumbani kwako atakuambia. lowasa ni mwizi fisadi na tapeli hafai kuwa rais wa nchi yetu habari ndio hiyo
Naona umeanza kukata mauno kama shilole baada ya mpini kuzama na bado mpaka tarehe 25 utakizungusha kama feni
 
Mkoa wa Mara umemkabidhi rasmi Lowasa Hati ya Ushujaa Uliotukuka. Kwanza ni kwa kuonyesha siasa safi kitu ambacho hata waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi wamelizingumzia hilo. Pia Mkoa wa Mara umemtambua Lowassa kama shujaa mpya wa mkoa huo. Amekabidhiwa hati hiyo mbele ya maelfu ya wananchi wa mkoa huo waliolipuka kwa shngwe za balaa

Aibu ya Mwaka ,waache kumkabidhi Mtaragara chillangi ,Wamkabidhi Fisadi? Musoma ya wapi hiyo? Labda shuraa WA kinesi
 
Mamako anajua. now mchukue nenda nae chumbani kwako atakuambia. lowasa ni mwizi fisadi na tapeli hafai kuwa rais wa nchi yetu habari ndio hiyo

Mimi huwa nacheka sana eti unakuta kijitu kimaskini mpaka kikijikuna kinatoka unga eti nacho kinalia Lowassa mwizi! Una nini cha kuibiwa na wewe mbwa koko wewe? Tuache ushabiki maandazi, fanya kazi na wewe utajirike nyoko!!
 
Ustaarabu wako ni kidogo sana kutukana wenzio matusi ya wazazi ninakusihi ustaarabike
 
Aise watu wa Mara ni wabunifu wamefanya kitu cha pekee ambacho hakijawahi kufikiriwa na hakikutegemewa.
 
Huku Mara hakuna goli la mkono Mura!hayo ni huko bara tu mnakoogopa hata fataki likipigwa mnakimbiana kama nzige kwenye msimu wao..huku kwetu likipgwa bomu sisi tunaagiza kabia kengine kwa raha zetu ukiingia kwenye 18 zetu hatuangalii hata kama ni JW utaumuka tu mura...
 
Back
Top Bottom