amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Mkoa wa Mara umemkabidhi rasmi Lowasa Hati ya Ushujaa Uliotukuka. Kwanza ni kwa kuonyesha siasa safi kitu ambacho hata waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi wamelizingumzia hilo. Pia Mkoa wa Mara umemtambua Lowassa kama shujaa mpya wa mkoa huo. Amekabidhiwa hati hiyo mbele ya maelfu ya wananchi wa mkoa huo waliolipuka kwa shngwe za balaa