PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

yaani uyu mama simpendi jamani....cjui kwa nini nimeingiwa na iyo roho....simuoni kabisa akiwa realistik

Sasa unapenda mama yupi. Maana huyo wa pombe hata sauti yake hatujaisikia..... Jifunze tu kumpenda maana ni first lady wa nchi soon. Kila kitu tunajifunza.
 
unadhani mama magufuli ni golikipa kama uyo mama lowasa......mke wa magufuli yupo kwenye majukumu yake ya kikazi ila we mke wa lowasa huna la kufanya ndio mana una swaga kama kondoo uende kukampeni ata kama huwezi kuongea utajulia uko uko mbele kwa mbele hahahahahahahahhahhahah.........
 
Invalid Attachment specified. The
account might have been REMOVED
by Administrators or MERGED into
another account. If you think this is
wrong, please notify the
administrator
 
Mabadilikooooo.......

Malizia kamanda!!


Leo mama yetu kipenzi, Mama Regina Lowassa ameshatua mkoani Ruvuma na atatembelea wilayani lengo kuu likiwa kuwaombea kura wagombea wa UKAWA kuanzia ngazi ya Udiwani mpaka Urais.


Kwa nafasi ya kipekee kabisa kura za Urais anaomba ziende kwa mgombea wa CHADEMA na Umoja wa Ukawa Mhe Edward Ngoyai Lowassa ambaye pia ni mume wake.


Mabadilikoooo....

Malizia kamanda...

Lowassa.



View attachment 299066


View attachment 299067


View attachment 299068


View attachment 299072

Lowasa out!!!!!!!

Tarehe 25 haifiki tu?

Lowasa out again!!!!!!!!


Ujumbe:







".......mtu akikuambia upige kura na ulinde kura ..mwambie mzee njoo tulinde wote..."
Kanali kinana
 
Lowasa out!!!!!!!

Tarehe 25 haifiki tu?

Lowasa out again!!!!!!!!


Ujumbe:







".......mtu akikuambia upige kura na ulinde kura ..mwambie mzee njoo tulinde wote..."
Kanali kinana

Toroka uje mkuu!! Umemuona huyo first lady ajaye???
 
Mwalimu Regina ni ccm.mfumo dume ndio umempeleka upotovuni.kuhakikisha haya;
Hawezi kutuma watoto wake kudeki barabara au kukesha vituoni.Hekima ya ccm
 
Back
Top Bottom