Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,705
- 5,316
yaani uyu mama simpendi jamani....cjui kwa nini nimeingiwa na iyo roho....simuoni kabisa akiwa realistik
Utakuwa umeathiriwa na jina unalotumia Mkuu!!!!!!!!!!!!!
yaani uyu mama simpendi jamani....cjui kwa nini nimeingiwa na iyo roho....simuoni kabisa akiwa realistik
Mabadilikooooo.......
Malizia kamanda!!
Leo mama yetu kipenzi, Mama Regina Lowassa ameshatua mkoani Ruvuma na atatembelea wilayani lengo kuu likiwa kuwaombea kura wagombea wa UKAWA kuanzia ngazi ya Udiwani mpaka Urais.
Kwa nafasi ya kipekee kabisa kura za Urais anaomba ziende kwa mgombea wa CHADEMA na Umoja wa Ukawa Mhe Edward Ngoyai Lowassa ambaye pia ni mume wake.
Mabadilikoooo....
Malizia kamanda...
Lowassa.
View attachment 299066
View attachment 299067
View attachment 299068
View attachment 299072
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa
mama yetu mpendwa mungu wa mbinguni akuongoze na akufanikishe katika yote. Nakemea nguvu za ibilisi shetani dhidi yako kwa damu ya yesu!
Chakii tutafutane na mimi niko hapa hapa Songea.
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa
mkuu Upo pande zipi? Mimi nipo Bombambili. huku Huyu mama kafanya kufuru ya ajabu. hii nyomi utadhani makoleo ndiyo anahutubia. yaani ni shidaaa. mods plzz fungueni picha nilizopandisha.
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa
Sawa wewe mke wa maufunguo mbona hauko kwenye kampeni?hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa