mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
red brigade wakiwa kaziniairport kukiwa full
hatari tupu watu ni wengi sana kwa hakika mbeya inazizima leoo
Hivi endapo ukawa watashika dola, hiyo red brigade ya CHADEMA ndo itakufa au watakuwa na majukumu gani?