Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,286
- 25,366
Picha zinaendelea kumiminika ,kwa hiyo kaa kwa kutulia na wala usipate presha .Acha kejeli,, watu wenyewe wanaolia wako wapi hapo? Sasa hao walioenda kumpokea si wanaccm,
Kwa sasa Taifa zima lina furaha kubwa sana chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanNimebubujikwa na machozi ya furaha kwa hayo mapokezi makubwa ya mheshimiwa Rais wetu
Hakutakuwa na haja ya kampeni maana mpaka sasa ameshapita kwa kishindo katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Mama anashangiliwa Kila kona hapa
Huyu 2025 anavuna kura zote hapa Katavi
Nyuso za wana Katavi zimejaa furaha na tabasamu tuHongereni Wana Katavi kwa kutembelewa na MH.Raisi.
mbona zinaumiza meno hapa nikiziangaliaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudiwa watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alipopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Akiiona hii post atafurahi kwelikweli kana kwamba ni kweli, wala asijue umeandika mtego mbaya sana kwa yeye avunaye alichokipanda na akitaka kuvuna hanaga madaraja ya vyeo vya dunianiHongera mama kwa hakika wewe ndie mungu alikuchagua zaidi na ndio maana ukawa raisi bila kutarajia
Amepokelewa na maelfu ya wanakatavi.hapo nimetabguliza picha za viongozi wakuu wa chama kitaifa kuzingatia itifaki.watu wana furaha na tabasamu tuMbona wanaompokea ni wale wale watu wa DAR
Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.Akiiona hii post atafurahi kwelikweli kana kwamba ni kweli, wala asijue umeandika mtego mbaya sana kwa yeye avunaye alichokipanda na akitaka kuvuna hanaga madaraja ya vyeo vya duniani
Inawezekana umekula malimau mabichi na manjaa yako .mbona zinaumiza meno hapa nikiziangalia
miaka ya nyuma mtoto wangu alikuwa anapenda kuangalia hawa wadudu kwa tabia zao ni kaona wanafanana we mpaka matendo yao wanavompenda bosi wao.Inawezekana umekula malimau mabichi na manjaa yako .