Kwa mara nyingine Taifa linaelekea kupata "First Lady" bora kama Mama Maria Nyerere
Unataka amlinganishe na nani sasa.Please pleas toha tu kusema Bo kama unaona hivyo ila usimlingih na Mama Maria Nyerere Please!
anamshinda 1 Lady aliyepita?
..hilo tabasamu tu...kumchukia huyu mama lazima uwe mental, km yule chizi anayeendesha bodaboda marekani sijui uingereza siku hizi!!
Unataka amlinganishe na nani sasa.
Unataka amlinganishe na nani sasa.
Kwa tabasamu, ucheshi wake na actions zake namfananisha na Hillary Clinton.
mama maria nyerere ni level ingine. huwezi kumlinganisha na huyu.
huyu atakuwa anafanana na mmewe. hawezi tofautiana sana na mumewe.
ni kama vile mama maria nyerere alikuwa anaendana na mumewe na huyu pia anaendana na mumewe
sasa angalia mwenyewe. nyerere na lowasa ni mbalimbali kabisa ni kama mbingu na nchi
Huyo mbibi nae alivo na uchu na u-first lady teh teh teeh......anahangaika anahaha. Wenye U first lady wao wametulia kamyaaaaa!!!! kana kwamba hawana habari na kampeni
hamna namna,Lowassa atangulie Ikulu asap-kura zitamfuata hukohuko ikulu-Huyu mama anafaa hata kuwa waziri,ana akili kubwazzz kuliko akina Membe na Wasira
Huyo mbibi nae alivo na uchu na u-first lady teh teh teeh......anahangaika anahaha. Wenye U first lady wao wametulia kamyaaaaa!!!! kana kwamba hawana habari na kampeni
Wako watatu na Mzee Mwanakijiji
Kwa mara nyingine Taifa linaelekea kupata "First Lady" bora kama Mama Maria Nyerere