Kiboko ya Josephina
Safi sana, bado hajawa rais yeye tayari first lady. Mume akiwa rais lazima familia yote wawe viongozi...yale yale!!!!
Jozee yuko States anakula Bata na mchumba hela walizopewa na ccm. Kweli Jozee kiboko! Yaani kamuharibia kabisa future mzee wa watu, badala ya jina lake kuingia katika historia kama mwanamapinduzi sasa amekuwa Yuda Iskariote mbele ya jamii.
Watu wa Karatu walikuwa wanatembea kifua mbele wakijitapa wamezaa jembe Leo ukiwauliza mnamfahamu Dr wanasema "ndio nani?" Yote shauri ya Jozee!
Wako watatu na Mzee Mwanakijiji
magufuli jamaniiiii... Mkeo najua hawezi hata ongelesha watu 2
Kwa mara nyingine Taifa linaelekea kupata "First Lady" bora kama Mama Maria Nyerere
Kwa tabasamu, ucheshi wake na actions zake namfananisha na Hillary Clinton...hilo tabasamu tu...kumchukia huyu mama lazima uwe mental, km yule chizi anayeendesha bodaboda marekani sijui uingereza siku hizi!!