Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
- Thread starter
- #61
Laiti kama ungalijua yanayoendelea ndani ya nyumba ya JoseMaPombe na mkewe usingethubuthu kusema chochote hapa, ni miaka kadhaa sasa jamaa kaikimbia nyumba yake ya ndoa na kwenda kuishi kwa Kimada na ndo maana yule bibi kaamua kukaa zake pembeni.
Duuuu ni hatari sasa....