Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

Yaani hata kama Lowasa hawi rais huyu mama lazima awe First Lady.
Sijawahi kuona kamanda kama huyu mama haroooooo
Yani kaingia kwenye chama juzi tu na amecoup kama alikuwapo miaka yoooote

huyu mama ni drive force behind LOWASSA
NAFIKIRI LOWASSA alitumia consultant wazoefu wa masuala ya family kumpata
 
Yaani hata kama Lowasa hawi rais huyu mama lazima awe First Lady.
Sijawahi kuona kamanda kama huyu mama haroooooo
Yani kaingia kwenye chama juzi tu na amecoup kama alikuwapo miaka yoooote
ulitaka kumaanisha nini hapo?
 
Yaani hata kama Lowasa hawi rais huyu mama lazima awe First Lady.
Sijawahi kuona kamanda kama huyu mama haroooooo
Yani kaingia kwenye chama juzi tu na amecoup kama alikuwapo miaka yoooote

Anamzidi mashambuzi???
 
Hiyo inaitwa DOUBLE IMPACT CAMPAIGN.
Naona dalili ya mafuriko ya kura nchi nzima tarehe 25/10/2015 kwa Lowassa na UKAWA.

Kweli wanawake ni jeshi kubwa.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa mafanikio ya Lowassa ni matokeo ya mke wake, lakini sikuelewa, ila kwa sasa nimeelewa vizuri.
 
Ahsante mama Lowasa kwa kazi nzuri, hotuba zako zimewabadilisha dada zangu 9, kura kwa Lowasa.
 
Back
Top Bottom