Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

mtaji wa ccm ulikuwa ni akina Mama ila naona Mama Regina anachukua mtaji wa kura za ccm analeta ukawa,,, safi sana Mama Regina
 
Hakika huyu mama ni wa kipekee.

Kwakweli kuna wanaume dunia hii wanabahati sana.
 
huyu mama nae kihelehele utafikiri na yy ni mgombea mwenza, atulie nyumbani alee watoto amwache mroho wa kupiga ma deal akoge maji alovulia nguo.
yaani hata ujichanganye uzuri wako wewe na jina lako hauufikii hata robo ya lips za first lady wetu mama EL
 
Kaka roho yakuuma saaana ukimwona Maza El anavochanja mbuga kumnadi muheshimiwa El? Huo ndio ukweli mama anakubalika sana kila sehemu aendayo
 
Kwani makomeo anishi kiadikoo. Hivi ficcm hawaoni kuwa hilo ni tatizo
 
Kuna wamama wengine ungetamani hata awe mama yako
 
Ebu acheni ujinga uzuri kwa mumewe we unakusaidia nini,mnakua km mibwabwa,au mipunga nyie?
Wewe kaa na hilo zee lako unaloliita mke huko nyumbani mwache firstlady apige kampeni kwani anakidhi viwango vyote vya kuitwa mke na wala sio hiyo scrapper yako uliyookota kwenye madanguro
 
Huyu mama amemfunika Duni sijui Haji nani yule. Kweli maza anapigana kufa na kupona kuwa first lady!
 
Endapo Lowassa atashinda uchaguzi itakuwa ni mara ya pili kwa Tanzania kuwa na First Lady mwenye hekima na busara kama Mama Regina Lowassa.
Mama Maria Nyerere alikuwa wa kwanza; wengine sijaona..
 
Firstlady in the making.
Go mama lowasa.
 
Nenda kila kona mama uwaamshe wanawake kutoka usingizi mzito tuzoe kura zao zije ukawa.
Naamini mpaka sasa mama ameshatuletea kura milioni tano ukiondoa za mzee pamoja na makamanda mbowe,lissu,masha,lembeli,wenje,lema,kubenea,mnyika,mbatia,duni,sugu nk
Kumbe kupata kura milioni 18 ukawa Ni kazi rahisi sana juhudi zikifanyika.
 
Huyu mama namzimia sana, yuko sawa ile mbaya!! Huyu mama amebarikiwa sana. Mafanikio ya Lowassa yamechangiwa sana na huyu mama.

Na ushindi wa Lowassa Oct.25 utachangiwa kwa kiasi kikubwa na huyu mama Regina Lowassa. Maana yeye anadeal na kura za kinamama na amefanikiwa sana kuwashawishi wanawake wengi sana kumpigia kura Lowassa.

Lowassa ndie Rais
 
Maama mama mama! mama huyoo mama mama huyo mama mama huyo mama! siku zote Baba akimpenda mkewe lazima nyumba iwe na furaha!
 
Back
Top Bottom