Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

Mungu ambariki huyu mama na hazidi kumpa hekima katika kazi zake za kila siku
 
Ulitakiwa kufikiri vizuri kabla ya kuropoka, Salma Rashid Kikwete alimfanyia mumewe kampeni katika kipindi cha pili cha utawala wa JK. Alikuwa akifanya kampeni akitokea ikulu, akitumia magari na walinzi wa serikali na alikuwa anapokelewa kila alipokwenda na viongozi wa serikali! Hii ndiyo watu walipigia kelele! Ni tofauti kabisa na Mama Reg Lowassa anavyofanya sasa,yeye anatokea nyumbani kwake,kwa gharama zake mwenyewe, walinzi wake mwenyewe na anapokelewa na wanachama na wapenzi wa mumewe.

Huelewi ni wakati gani mtu nakuwa na sifa ya "kwa maslahi ya umma au kiongozi wa umma". Kwani vyama vya siasa havitumii rasilimali za walipa kodi wa Tanzania? Hivi nyie watu huko shule mlienda kusomea nini, Ujinga au? simply huelewi na uko mtupu kichwani upo kwa kufuata mkumbo tu.
 
Hujinga huu unaoandika ndiyo mwisho wa elimu yako? yani nyeusi na nyeupe kwenu zote zinafanana? Hovyo kabisa!
 
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura

Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu

Ni kweki kabisa mkuu,na pia ikumbukwe kuna vijana wanaweza kutumia hasira zao vibaya wakaharibu kura.

Na hilo suala la kwenda na kalamu zetu ni Muhimu sanaa!!!
 
Hujinga huu unaoandika ndiyo mwisho wa elimu yako? yani nyeusi na nyeupe kwenu zote zinafanana? Hovyo kabisa!
Kiswahili chenyewe hujui ndio utaweza kujua ujinga wa mtu wewe kweli? Kwa ushauri mtafute FaizaFoxy ili akufundishe kiswahili.
 
Last edited by a moderator:
Hii familia nimeikubali! Yaani mama naye anakusanya nyomi kumzidi hata mgombea mwenza wa ccm?
 
Hii Familia ya FISADI LOWASSA ina NIA GANI na TANZANIA??!!Mbona WAMEKAMIA ILE MBAYA......???!!!!Mungu Tuepushie mbali.......
 
Huyu mama Mungu ambariki, kweli Lowassa kapata mke. Ukiwa na mke kama huyu maisha yanakuwa rahisi
 
Anapendeza kweli kuwa first lady, Mungu Kura za Ukawa zisiibiwe ili huyu mama awe first lady.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom