Hii ni Team Lowassa
watahangaika sana, kinyang'anyiro 2015. Makamba bado sana
Hii ni Team Lowassa
Urais wa nchi hii makamba jr atausikia kwenye bomba tu..............
mimi nintampa kura yule anayenifanya niende chooni,sasa km unanipigia porojo mwisho wa siku naona unapaa na elkopta kwanza ukiwa umeninyang`anya mia tano yangu , alafu mimi ikifika jioni naenda kulala njaa na watoto unadhani nitakuelewa kweliiiiiiiiiiiiiii
Uwiii Bigirita umenishtua Moyo.Bomba la nyege kutoka Lushoto kwenda Daslam.
Naibu wizara ya Sayansi na Teknolojia,na huku bima ya Afya!Mbona sikuelewi Makamba?Ungekuwa naibu waziri wa Afya sawa au hata uchukuzi na usafirishaji,lakini Sayansi na teknolojia Makamba?Na kile kikao cha Wachungaji(viongozi wa dini) juzi usiku?Husijali kijana,tutakukumbuka 2015,ila hela hizo unazotumia unazitoa wapi??????!
walipima wakajua lazima watavuna walafi aina hii
lakini tujiulize hivi ni sera ya kitaifa ama ni mkakati wa mtu kuwasaidia bodaboda wa mwanza tu!
wakati monduli hata boda boda za kukodi tu ni shida! na hata huko lushoto hakuna kitu kama hichi haya yote ni kuwinda kura za upotoshaji badae mjilipe madini
hivi hawa boda boda kwa mwezi wanapata shs ngapi? manake hawalipi kodi wakati wengine kipato chao kinawazidi waalimu! sio haki hata kidogo. Kila mtu alipe kodi stahiki. Pili hawana nidhamu barabarani wanawafanyia fujo walipa kodi wenye magari
Hii TZ yetu inadhalilishwa kupita kiasi, hivi kuwa mwandishi wa hotuba za Rais ndo kunakufanya uvimbe kichwa kihasi hiki eti unaweza kuingoza TZ. kumbe hata mwanafunzi anayewaandikia wanafunzi wenzake notisi ubaoni anaweza kuwa mwalimu!!!! Huu ni upuuzi uliopitiliza . TZ amka.
NAIBU wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba ametaka ujio wake Jiji la Mwanza usihusishwe na Kampeni za chini kwa chini za Urais bali ni kutekeleza ombi la Umoja wa waendesha pikipiki Mkoa wa Mwanza kuwasaidia kupata Bima ya Afya baada ya kuwawezesha kupata pikipiki 1745 za FEKON na si vinginevyo.
Kauli hiyo ya Makamba ameitoa leo wakati wa kufungua kongamano kubwa la siku moja la Umoja wa Madereva wa pikipiki Mwanza lililofanyika katika uwanja wa michezo wa Nyamagana Jijini hapa, alisema kwamba kuna baadhi ya watu wameanza kuhoji ujio wangu Mwanza Niko hapa kwa ajili ya shughuli hii mliyonialika bali kuja kushiriki Kampeni muhimu ya Bima ya Afya kwa ajili ya Usalama wa badae na si vinginevyo.
Makamba amesema kwamba upatikanaji wa Leseni kwa urahisi na uharaka usiwe tiketi ya Kifo kwa wananchi.View attachment 129062View attachment 129063View attachment 129064View attachment 129065
Ndio maana mwaka 2010 mulipata viti 23.
mimi nintampa kura yule anayenifanya niende chooni,sasa km unanipigia porojo mwisho wa siku naona unapaa na elkopta kwanza ukiwa umeninyang`anya mia tano yangu , alafu mimi ikifika jioni naenda kulala njaa na watoto unadhani nitakuelewa kweliiiiiiiiiiiiiii