Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Mababu wako wengi sana ccm na wote wamejaribu kuwania urais...mzee john aka baba le-mutuz,salim.a.salim wote hao ni babu ila hatuwadharau kama ww unavyomdharau mzee wetu..Mungu akubariki umalize mwaka salama pamoja na dharau zako
Naibu wizara ya Nishati na madini,na huku bima ya Afya!Mbona sikuelewi Makamba?Ungekuwa naibu waziri wa Afya sawa au hata uchukuzi na usafirishaji,lakini Madini Makamba?Na kile kikao cha Wachungaji(viongozi wa dini) juzi usiku?Husijali kijana,tutakukumbuka 2015,ila hela hizo unazotumia unazitoa wapi??????!
ila wakitumiwa na chadema ndo vizuri, hahaaaa!Hawa bodaboda wanatumika vibaya
Hawa bodaboda wanatumika vibaya
ila wakitumiwa na chadema ndo vizuri, hahaaaa!
Boda boda ghafla wamegeuka kuwa mtaji wa kisiasa! Machinga shauri yenu naona mnaanza kuenguliwa sasa Boda Boda wanachukua hatamu!!
Nchi hii ngumu kweli kweli yaani hawa Boda Boda sasa watakuwa hawagusiki kwani ukiwagusa tu utasikia acha kuwasumbua wapiga kura!! Wamachinga walipata viburi hadi kuanza kupanga bidhaa katikati ya barabara kwa kuwa tu ni kundi la wapiga kura sasa na hawa Boda Boda mtayaona matokeo yake kuna siku watazuia taxi na daladala zisifanye kazi na hakuna wa kuwagusa kwa kuwa ni wapiga kura!!
vipi waendesha daladala na taxi wao sio wapiga kura
Kuwa makini unadhalilisha jukwaa,Makamba toka lini akawa wizara ya nishati na madini?Naibu wizara ya Nishati na madini,na huku bima ya Afya!Mbona sikuelewi Makamba?Ungekuwa naibu waziri wa Afya sawa au hata uchukuzi na usafirishaji,lakini Madini Makamba?Na kile kikao cha Wachungaji(viongozi wa dini) juzi usiku?Husijali kijana,tutakukumbuka 2015,ila hela hizo unazotumia unazitoa wapi??????!
NAIBU wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba ametaka ujio wake Jiji la Mwanza usihusishwe na Kampeni za chini kwa chini za Urais bali ni kutekeleza ombi la Umoja wa waendesha pikipiki Mkoa wa Mwanza kuwasaidia kupata Bima ya Afya baada ya kuwawezesha kupata pikipiki 1745 za FEKON na si vinginevyo.
Kauli hiyo ya Makamba ameitoa leo wakati wa kufungua kongamano kubwa la siku moja la Umoja wa Madereva wa pikipiki Mwanza lililofanyika katika uwanja wa michezo wa Nyamagana Jijini hapa, alisema kwamba kuna baadhi ya watu wameanza kuhoji ujio wangu Mwanza Niko hapa kwa ajili ya shughuli hii mliyonialika bali kuja kushiriki Kampeni muhimu ya Bima ya Afya kwa ajili ya Usalama wa badae na si vinginevyo.
Makamba amesema kwamba upatikanaji wa Leseni kwa urahisi na uharaka usiwe tiketi ya Kifo kwa wananchi.View attachment 129062View attachment 129063View attachment 129064View attachment 129065
Kuwa makini unadhalilisha jukwaa,Makamba toka lini akawa wizara ya nishati na madini?