PICHA: Makamba hizi si kampeni za urais

PICHA: Makamba hizi si kampeni za urais

mimi nintampa kura yule anayenifanya niende chooni,sasa km unanipigia porojo mwisho wa siku naona unapaa na elkopta kwanza ukiwa umeninyang`anya mia tano yangu , alafu mimi ikifika jioni naenda kulala njaa na watoto unadhani nitakuelewa kweliiiiiiiiiiiiiii

Pole sana, yaani mpaka leo hujaamka na kustuka tu, umeeona mia tano na kusahau kodi zote unazokatwa katika kila kitu hata kwenda choon unakatwa kodi
 
Not this time over our dead bodies tumechoka kutumika Kama stepping stones sukumaland have their candidate.
 
Kuchoka kwa ccm ndo huku ila mwanza,tunajua pakupeleka kura yetu ngoja tupunguze hela za Richmond na haya ni nguvu ya chadema ndiyo imesababisha tujulikane hongera Cdm na Wenje. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeees poooooer!!!!!!!
 
Wameua viwanda ambavyo vingetoa ajira za maana kwa vijana,sasa wanaona pikipiki ndo suluhisho

Walioua viwanda ni pamoja na wewe mliogeuza uongozi ni neema ya kupigania na uzalishaji viwandani ni kazi ya wakati wa utumwa, na badala yake uchuuzi ndiyo ujanja
 
Hii TZ yetu inadhalilishwa kupita kiasi, hivi kuwa mwandishi wa hotuba za Rais ndo kunakufanya uvimbe kichwa kihasi hiki eti unaweza kuingoza TZ. kumbe hata mwanafunzi anayewaandikia wanafunzi wenzake notisi ubaoni anaweza kuwa mwalimu!!!! Huu ni upuuzi uliopitiliza . TZ amka.

Kaka soma mchezo,hii ni team lowassa,january hana sumu kbsa ila amehaidiwa uwaziri mkuu na lowassa,ila atengenezewe uraisi baadae
 
Jamani Nchi hii sasa inaelekea siko kama huyu muiba Mitihani ya Taifa nae anataka kwenda Magogoni. Natangaza hapa,January Makamba akipata huo Urahisi wa Nchi hii nahama Tanzania naenda kuishi South Sudan,bora nikaishi kwenye Nchi yenye Vita kuliko kuishi kwenye Nchi yenye Amani itakayoendeshwa na Bogus.
 
Ni kweli kabisa, kanda ya Ziwa ni muhimu mno kuamua Rais wa nchi hii, idadi ya wapiga kura ni kubwa mno kanda hii.

Kwa mbio hizi, Diallo atang'ara sana maana ni kiungo muhimu kuelekea urais via CCM.

Kanda hii ccm wasahau.
 
Kweli tumekua vichwa vya wendawazimu..bodaboda akidumu sana barabarani ni miaka 5,baada ya hapo hana afya thabiti ya kuendelea na kazi yake,mfumo wa hifadhi ya jamii utamsapot na familia yake? Tunatengeneza taifa gani? Hii ndo hasara ya akili za kuunga unga na misheni town.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama ni kweda kuhamasisha kampeni ya Bima ya Afya ana uhusiano gani na wizara ya Afya?
Hizi ni kampeni tu. Tuone kama ccm watawafanya chochote maana walisema atakaeonyesha dalili za kampeni atafunguliwa file
Yetu macho
 
January akiupata urais tumekwisha maana urais wake utakuwa na UBIA na washkaji weeengi mno!
kama namuona vile Kusaga anavyosugua goti swahiba afanikiwe!!
 
Naibu wizara ya Sayansi na Teknolojia,na huku bima ya Afya!Mbona sikuelewi Makamba?Ungekuwa naibu waziri wa Afya sawa au hata uchukuzi na usafirishaji,lakini Sayansi na teknolojia Makamba?Na kile kikao cha Wachungaji(viongozi wa dini) juzi usiku?Husijali kijana,tutakukumbuka 2015,ila hela hizo unazotumia unazitoa wapi??????!
Aliwapa $ 100 kila Maaskofu watatu. Nchi imekwisha. Mpaka Maaskofu wanahongwa?
 
Back
Top Bottom