PICHA: Makamba Akiwa na Piyush Goyal Nini Hiki?

PICHA: Makamba Akiwa na Piyush Goyal Nini Hiki?

Hamna kitu kama hicho chief kwamba mwanga uafifishe na kupoteza nguo ya image wkt wa kupiga picha, sina hakika kwa hilo.

Ngoja tuendelee kupata uhalisia labda nitaelewa!.
Kama hata ukizoom huoni suruali tena na upanga wake, basi macho yako yanashida! Kula matunda na mboga za majani kwa wingi
 
Hiyo ni picha halisi na wala haina shaka ndani yake.

Sijajua wajuzi wa mambo mnaionaje
 
Angalia hii kitu hapa, pamoja na macho yangu kuwa mabovu, nini hicho?

IMG_20240225_195035.jpg
 
Beberu
Makorokoro Bondeni
makaveli10
King Kong III
Inaonekana baadhi yenu si wajuzi wa kuchunguza picha, angalia uhalisia wa hiyo picha kwa eneo ilipozungushwa duala.

Miguu ya huyo mhindi ilipoishia, kwenye picha nyingine ni amevaa zile gauni zao fupi (nyeusi) na pajama (nyeupe) ila hapo kwenye picha miguu imekatwa kuna kitu hakipo sawa au ni editing.
Kama vile waziri wa India hana mguu wa kushoto ila kasimama bila tatizo.
 
Back
Top Bottom