amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
maswali yenyewe kama ni haya uenda ulishindwa hata mtiani wa la nne!!! inabidi uende kisomo cha watu wazima.Ningekuwa TCRA ningekuuliza maswali kadhaa, kama ungeshindwa kujibu ningekusweka ndani kwa kosa la kutunga na kusambaza uongozi mtandaoni. Maswali yenyewe ni:
1. Standard lifespan ya barabara ya lami ni miaka mingapi?
2. Sababu zipi zinaweza kuifanya barabara ya lami iliyojengwa kwenye kiwango iharibike kabla ya muda wake wa kawaida?
3. Huyo barabara pichani ilijengwa lini?
4. Ikiwa haitimiza muda wake, unao ushahidi wa kuonyesha sababu za kuharibika kwake?
Ningekuwa TCRA ningekuuliza maswali kadhaa, kama ungeshindwa kujibu ningekusweka ndani kwa kosa la kutunga na kusambaza uongozi mtandaoni. Maswali yenyewe ni:

Team Lutheran at work