Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,900
- 11,794
Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania
Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji.
Naanza
1. ARUSHA
Hapo ndio Chuga
2. MWANZA
Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa
3. MBEYA
Jiji zuri la nyanda za juu Kusini, ila vumbi ndio usiseme 😅
4. IRINGA
Mji huu ulivyo mzuri siamini kama watu wake wanakula mbwa 😁
Kuna picha ya mahali popote pale Tanzania iweke humu tuione.
Binafsi nitakuonesha maeneo kadhaa ya Tanzania