Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

Naona watu wanapasema kuwa sio pazuri sana, ila mimi sina uhakika kama kweli ni pabaya. Kutokana na watu kupapondea mi nimeandika tu hivyo
Naweza futa kama ukitaka
Utetezi wako hauna mantiki coz Uzi wako haukusema kua zipostiwe Picha za sehemu nzuri tu,umetaka mpaka vijiji vipostiwe pia.
 
Kazuramimba, Kigoma
Screenshot_2025-08-16-19-06-13-745_com.google.android.googlequicksearchbox.png
Screenshot_2025-08-16-19-06-42-307_com.google.android.googlequicksearchbox.png
Screenshot_2025-08-16-19-07-11-600_com.google.android.googlequicksearchbox.png
 
Back
Top Bottom