Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,900
- 11,794
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi zimejaa Google
Nimeleta ambazo ni ngumu kuzipata Google
Picha zipo chini kwenye comments 👇👇
Picha hizi hapa wakuu zilikuwa zinagoma ku upload. Samahanini kwa usumbufu 😅😅
Nitaendelea kuzipost chini kwenye uzi huu