Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,902
- 11,800
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi zimejaa Google
Nimeleta ambazo ni ngumu kuzipata Google
Last photo: Karibuni Christmas wakuu 😁