PICHA:Machinga siyo watu wa mchezo mchezo

PICHA:Machinga siyo watu wa mchezo mchezo

ila wakati mwingine hawa wa machinga wanatukera sisi wapita njia yaani jioni mtu unatembea mmebanana kweli kweli yaani wameziba njia yote
 
Lile tamko inabidi liangaliwe upya Na aliyelitoa, imekuwa kero sasa
 
Back
Top Bottom