hata mimi mpaka jana nilikuwa member tu hata huo u-junior member nilikuwa sina ila siwezi kufanya hii kitu.., inabidi ufike wakati tuanze ku-judge people according to their actions and not the status of their membership...Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.
Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.
Mkuu umechanganya madesa
Hii picha ya mwaka jana mahakama ya Kinondoni
Unapotosha watu
R.I.P lulu, tulikupenda kitaani segerea imekupenda zaidi!
...Ngoja nivute Jack Daniels yangu hapa!
Ana hadhi gani hapa jukwaani?........hadhi yake ndiyo hii aliyoionesha hapa.Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.
Sijaona hata pahala pamoja ambapo Superman ameharibu au kupotosha!
Mimi binafsi ndio najifunza leo kuwa huyu binti alishafikishwa kwa Pilato kwa mara ingine apart from kesi yake ya sasa!
Aksante sana Superman!