Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,888
Hahaaaaa ushindwe wewe na huyo yesu wako!!!sisi tunamtegemea Yesu sio yesu! Elimu elimu elimu.
Haendi maana padri kasafiriHivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Mnoooo mkuuuMzee huyo ni mcha mungu kinoma.
Aisee kumbe sikuhizi ht wanadamu wanaweza kujua YALIYO moyoni mwa mtu?
Biblia imesema Mungu pekeyake ndo anajua moyo wa mtu unawaza nn?
Umekuwa Mungu nn
Wao wana MWENGE ssi na mungu tu,tulianza na mungu tutamaliza na mungu
Hivi Magufuli huwa anaenda church kweli? Sijawahi kusikia was kumuona
Mie Msukuma kama Magufuli na ni Mkatoliki ila kura yangu kwa EL na Babu Duni ✌
hafanyi ibada za maonyesho![/QUOTE
Lowassa uso umefungunga amani tele na furaha juu kweli fisiem mlitaka kumuua kwa maneno