Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.
Waulize kaptaini Komba, Mama Kombani na Mtikila watakueleza nini maana ya kucheza na afya za watu kama wewe ndiye muumbaji
Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.
Kwa nini hajaenda kuhani kwa kamanda wa lushoto,kweli maskini kwa Lowasa wasahau tu
Kijani hiyo-mnafikiria fuso tu kila kitu cheating
lowassa atakuwa raisi wa mioyo ya watu. Nyerere wa pili
Ndiyo kama alikwenda ,weka picha.Kwanza hata kwenye mazishi ya Mtoi hakwenda,kweli Lowasa anapenda matajiri tu ,Rais wa matajiri huyu kamwe hatashindaUna uwakika?
Kwakweli hajawahi
Ni lini Mlm.Nyerere alishawahi kujinyea?
Kwa fisadi Lowasa na Genge lake kanuni na sheria zote hazitumiki, hivyo chochote kinaruhusiwa na Mungu ameruhusu hilo!
Leo umeniangusha bana. Nilitegemea kuona ile slogan yako: CCM OUT!Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro....
Kumbuka siku ya mazishi alizuiwa na jeshi la polisi...
Leo umeniangusha bana. Nimezoea ile slogan yako: CCM OUT!Ukawa mbele kwa mbele
Anatafuta kiki kupitia ccm,mbona alivyokuwa tanga hakuenda kuhani kwa kamanda yule aliepoteza maisha akikipigania chama
Unasubiri nini kuupeleka ushahidi wako mahakamani au unabwabwaja bwabwaja tuu hapa
Mbona Chenge na Tibaijuka hamuwapeleki mahakamani
Nyani haoni nanihii lake ndo maana unaongea tuu hapa kama redio mbao
Mungu amekuruhusu wapi kumdharau binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa mfano wake
Lowassa atakuwa raisi wa mioyo ya watu. Nyerere wa pili
Ndugu yangu nakuomba utubu kwa hiki ulicho kiandika kwa siku ya leo......hii ni dhambi na usipo angalia itakutafuna km usipo muomba Mungu msamaha.