BROO
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 360
- 69
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
chief una rohoo ngumuu sanaa..polee
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
Aunty mdogo.... usinidhanie !! wewe hauna elimu L ghaibu !! hadi unishtukie.... vyama na mie wapi na wapi?.... nasema tena huko tuendako kuna kaburi linatusubiria tu !!!Uncle Zamiluni Zamiluni nimeshakushtukia una harufu ya maCCM!
Hata sina hamu na wewe kabisaaa,subiri tukirudi kutoka kwenye mabadiliko nitakupitia twende kushuhudia Lowassa akiwa anaapishwa.
Hatumchagui mtu anayejinyea hata siku moja. #HapaKaziTu Chagua MAGUFULI. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Jaman lowassa mbona kawa kijana ghafla Leo monduli? Kaongea vizuri hadi raha
Haaaaaa!Kaka umeniozesha lini?
Au hutaki mahari?
Shauri zako.
Thread hii yanimalizia MB najikuta narudia mara kadhaa sasa zaidi ya mara kumi!!
Lowassaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>>>>>>>>>>>>>>>.........................
Yaani nashindwa kuelewa lowasa ana nini, au kuna vimafuta anajipaka nakufanya avutie watu kiasi hiki? Mbona hatumii nguvu kuubwa kuhutubia, wala hapigi pushaup, kama wakwetu, dah, yaani naumia sana kila nikifungua picha za huyu mtu, nimechanganyikiwa kabisa, huko kijijini nako anajaza km jangwani, haiwezekani, kuna namna inafanyika, wanaunganisha picha tu. Inakuwaje watu wanajaa bila kusombwa na malory? Huu ni uonevu kabisa, tuweke usawa kidogo.
Tutamchagua hivyo hivyo, nyie endeleeni na matusi maana ndio sera pekee iliyobaki nayo ccm.
Kwani uongo? Si kweli alikunya kwenye nguo alipokuwa Chato??? Kama ni uongo bisha nikurushie video???
Hata unirushie akiwa uchi au vyovyote vile, bado kura yangu ni kwa Lowasa.
Mungu akubariki, watu wamenyweshwa maji ya Kijani wameoza. Wanahitaji kuombewa hakika.Hata unirushie akiwa uchi au vyovyote vile, bado kura yangu ni kwa Lowasa.
Shida gani wakati yeye ni mmojawao? Sema watapata mlinzi. Lkn hill halitokei.hii ni shida kwa wezi wa epa,kagoda,melemeta,tangold
Mungu akubariki, watu wamenyweshwa maji ya Kijani wameoza. Wanahitaji kuombewa hakika.Hata unirushie akiwa uchi au vyovyote vile, bado kura yangu ni kwa Lowasa.
hapo hakuna......
Hapo hakuna futui.
the comedy
diamond
yamoto band
barnaba
ally kiba
na wengine wengi.....
sasa najiuliza Ccm watashindaje kwa Umma kama Huu....amin nawambieni Ukawa wakiwa Makini kura Zisipo ipiwa Lowassa atashinda kwa 70%