PICHA: LIVE KUTOKA CCM KIRUMBA YANGA V/S TOTO AFRICANS Yanga Waongoza 3-1; 10/11/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: LIVE KUTOKA CCM KIRUMBA YANGA V/S TOTO AFRICANS Yanga Waongoza 3-1; 10/11/2012

Discussion in 'Sports' started by nngu007, Oct 11, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  [h=3]L[/h]

  [​IMG]
  Timu zote mbili zinakaguliwa
  [​IMG]
  Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa
  [​IMG]
  Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu
  [​IMG]
  [​IMG]
  Hawa ni wachezaji wa Toto.
  [​IMG]
  Dar Yanga Africans
  [​IMG]
  Bao la kwanza la Yanga lililofungwa na Mchezaji Kavumbagu
  [​IMG]
  Mama Yanga Matuni nae ndani
  [​IMG]
  Hivi ndivyo CCM Kirumba ilivyo ingiliwa na mashabiki wa Yanga
  [​IMG]

  Yanga wakishangilia Bao la pili lililofungwa na
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145

  Mwanza Washabiki wa Yanga Bado Wengi...
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,360
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  Kipofu kaona mwezi.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Tuache naona huo ni wivu... Tunaisubiri AZAM na baba yao SIMBA
   
 5. M

  MACHUPA Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mbona ule wimbo wa manji ongeza pesa hujaweka ????????????????????????
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda mpewe penati ni juzi mlisherehekea droo.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145

  Wewe Subiri tu Muone cha MOTO... Mlijidai kumchukua MRISHO NGASA mbona hafungi MAGOLI ? Subirini aanze kuvaa
  Jezi za YANGA - Mtachanganyikiwa...

   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hatumtegemei MANJI... Sisi sio kama SIMBA... kwanza ni lini WACHINA watamaliza MKATABA ?
   
 9. M

  MACHUPA Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  MANJI ALIKUWEPO KIRUMBA NA HALF TIME ALIENDA VYUMBANI KUONGEZA MSHIKO MAANA YANGA MLIKUWA MNAPIGWA BAO KIPINDI CHA PILI
  BILA MANJI yeboyebo HAKUNA KITU
   
 10. M

  MACHUPA Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SEMENI HAMTEGEMEI MANJI wakati mechi na toto alienda kuongeza mshiko upande wa toto mlishalizwa
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ulijuaje wakati @ HALF TIME tulikuwa tunaongoza 2 - 0 ?; Haujajibu Issue na Mkataba na Wachina na pale Mchungwani Msimbazi ?
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni lini mrisho ngasa huwa anaifunga simba baada tu ya kuamia azam tu mkampiga misumari.
   
Loading...