FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,365
9,241
Hello wanamichezo wote Jf!?
I hope mko poa mkiendelea na majukumu yenu mbalimbali.... Najua wengine hawapo poa kutokana na magonjwa au matatizo mbalimbali ya dunia hii, usife moyo Bali mtangulize Mungu Kwa kila Jambo.

Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young Africans maarufu kama Yanga SC itakua mgeni wa Geita Gold FC Katika dimba la CCM Kirumba pale Jiji la Sato na sangara.

Huu utakua mchezo wa tano Kwa Yanga ambaye ana points 9 akiwa nafasi ya tatu nyuma ya Kinara Azam FC na Simba SC. Yanga baada ya kupokea kichapo cha 2-1 kutoka Kwa Ihefu FC Leo atapambana kushinda ili kurejesha furaha Kwa mashabiki wao Ambao wamepitia kipindi kigumu wiki hii kutoka Kwa watani zao Simba. Kwa upande wa Geita Gold FC wao wapo nafasi ya 12 wakiwa na points 4 hivo watapambana walau wapate sare ili watoke nafasi za hatari.

Katika mechi 4 walizokuatana, Yanga kashinda mechi zote nne hivo ana rekodi nzuri. Mechi ya mwisho kukutana Yanga walishinda Bao tatu zilizopachikwa na Mzize, Musonda na Jesus Moloko Bao pekee la Geita Gold lilifungwa na Fundi Elias Maguli Je, Yanga wataendeleza utabe wao au Geita Gold FC watafuta uteja?

Kwa hayo na mengine mengi, Basi andaa macho na masikio leo saa 10:00 jioni katika dimba la CCM KIRUMBA pale Ilemela Mwanza Moto Utawaka. Updates zote utazipata kupitia huu Uzi..

Kila la kheri Wanachi
#Daimambelenyumamwiko
IMG_20231007_122241.jpg
 
#DaimambelenyumamwikoView attachment 2774247
Leo tunamkanda mtu
 
Vamos Yanga
 
Kama mpira ni dini Gamondi ni nabii, unakosaje Imani na nabii Kwa mfano
Nabii gani anaongea uongo?

Kule Mbarari kapigwa kisha akaja kududanganya kuwa alipigwa viwili kwa bahati mbaya

Kwa nini tuendelee kumwamini?

Hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom