Makiri Unguluma JF-Expert Member Jul 21, 2011 987 335 Jun 9, 2016 #2 Jamaa yake alimtukukana hadharani sijui anipe namba yake ya simu tuyazungumze
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,619 1,710 Jun 9, 2016 #5 Ngoja nizoom, ikigundulika umetumia jina lake kwenye picha hisiyo yake ili ni kosa la mtandao na linaweza kukugharimu.
Ngoja nizoom, ikigundulika umetumia jina lake kwenye picha hisiyo yake ili ni kosa la mtandao na linaweza kukugharimu.
souljah meditater JF-Expert Member Oct 15, 2012 2,146 2,097 Jun 9, 2016 #8 kuna pozi na mavazi fulani mwanamke akivaa lazima avutie, kama anazidi kuwa mdada kweli weka picha yake ambayo ametoka kuamka
kuna pozi na mavazi fulani mwanamke akivaa lazima avutie, kama anazidi kuwa mdada kweli weka picha yake ambayo ametoka kuamka
ze-dudu JF-Expert Member Jul 26, 2014 17,438 22,423 Jun 9, 2016 #11 topr said: Uyu Beyonce ww kadanganye mbele uko Click to expand... Sure
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Jun 9, 2016 #12 topr said: Uyu Beyonce ww kadanganye mbele uko Click to expand... Beyonce sio model hivyo.
topr JF-Expert Member Jan 16, 2014 700 654 Jun 9, 2016 #14 Konda wa bodaboda said: Beyonce sio model hivyo. Click to expand... Naisi kama sija changanya kwenye wimbo Wa hello uyo Beyonce kama unabisha bisha tu
Konda wa bodaboda said: Beyonce sio model hivyo. Click to expand... Naisi kama sija changanya kwenye wimbo Wa hello uyo Beyonce kama unabisha bisha tu
Cicadulina JF-Expert Member Sep 8, 2015 974 2,366 Jun 9, 2016 #15 huyo beyonce mbona Beyoncé gets married in 'Best Thing I Never Had'...
Eddy Love JF-Expert Member Jul 25, 2011 13,654 8,553 Jun 9, 2016 #18 ndi ndi 15yrz gardna kafanya yake
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,779 19,316 Jun 9, 2016 #19 Konda wa bodaboda said: Beyonce sio model hivyo. Click to expand...