PICHA: Kweli nyumbani kumenoga! Marais wastaafu ndani ya ndege yetu Dreamliner 787

Kila nikisikia habari za hii dreamliner nakumbuka movie ya God Must be Crazy na kile kichupa cha coca cola walichookota bush man!
 
Hivi hao wote ni marais wastaafu? Mbona naona wanaume wanne na wanawake wawil tu?
wa kwanza toka kushoto.....? wa pili Mama mkapa, 3 Mkapa, 4. Mzee mwinyi, 5 JK, Mke wa JK
 
Sasa si zama zao zimepita mkuu...Ishu kama aliyepo madarakani.Mfano wapande pamoja Rais,Makamu na Waziri Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni unachukulia poa ila kila mtu katika idara ya mipango upeande wa mipango ya safari ya hawa watu itakuwa matatizoni, na kama taifa tutaonekana wajinga sana. Imagine magazeti ya mbele yanaandika hivi:

Former Tanzania presidents DIED in a plane crash! They boarded the same plane!
 
Kila nasikia habari za hii dreamliner nakumbuka movie ya God Must be Crazy na kile kichupa cha coca cola walichookota bush man!
Na bado ile animation ya madagascar wakaigiza vile vile,ila wenyewe rubani alidondosha perfume inaitwa love potion no.9
 
'Marais wastaafu na wake zao' kwa mujibu wa hiyo picha, haya ni matusi au?!
 
Wanalipwa mishahara yao asilimia 80% kila mwezi na marupurupu kibao.
Ikitokea wamekufa maana yake ni hii:
1. Tutakosa busara zao
2. Gharama za kuwatunza zitakoma palepale
3. Tutawaniss sana
4. Itatangazwa maombolezo ya siku 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa sana. Hivi (Mungu epusha) dege likapata ajali juu, inakuaje?
Hakuna lolote la ziada tofauti na wahanga wengine raia wa kawaida.
Hao ni raia wa kawaida sasa.

Balaa lingekuwa viongozi waliopo madarakani sasa. Eg. Mkulu, PM, Vice Mkulu, Spika na Jaji Mkuu Kiobgozi, n.k. wakiwa wote wapo kwenye dege mara inasikika ile distress call MAY DAY, ..MAY DAY...

Usiombe kusikia huo muito ukipasua mawimbi.
 
Back
Top Bottom