PICHA: Kweli nyumbani kumenoga! Marais wastaafu ndani ya ndege yetu Dreamliner 787

Hii nchi mwaka 1961 iliwekwa chini ya ulinzi wa nguvu za Mungu kabla hata bendera haijapandishwa pale uwanja wa Uhuru.

Yoyote yule anayejaribu kuiweka nchi kwenye umiliki wowote ule kinyume na Mungu, basi huyo mtu ataumia, hataweza kufanikisha lengo lake.

Ni nchi chache sana Afrika, ambapo wastaafu wanaweza kupiga picha kama hiyo hapo juu. Ni matunda ya kuiweka nchi chini ya Mungu, muumba wa vyote anaendelea kuilinda Tanzania.
 
Hii sio News, ingekuwa News kama wangepata mkasa fulani hivi. Lkn hii ya kupanda that second hand airplane, I don't think it can arouse any feeling. It's rather frivolous.
 
Back
Top Bottom