PICHA: Kweli nyumbani kumenoga! Marais wastaafu ndani ya ndege yetu Dreamliner 787

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Magufuli ni shida sana. Jembe letu kali.

Leo Marais wetu wastaafu wakiwa na wake zao wameshuka kutoka kwenye Dreamliner 787 …

IMG-20180821-WA0079.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
haki yao kusafiri kwenye ndege ya shirika bure!!!!!!
weka sheria inayowapa haki hiyo
Mkuu labda nikufafanulie tu kidogo
Ki kawaida rais mstaafu hulipiwa nauli, au husafili na ndege za serikali
Sasa basi nikukumbushe tu hii ni ndege ya serikali sio ya shirika

Source: magufuli mwenyewe ndiye aliwaambia ATCL juzi tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom